Watch "Varsity student Sharon Otieno found dead in Homa Bay County" on YouTube

Watch "Varsity student Sharon Otieno found dead in Homa Bay County" on YouTube

Unyama wa kupitiliza. Huyu alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Gavana wa Migori Obado. Msaidizi wa gavana amekamatwa na polisi wapo mbioni kuwakamata washukiwa wengine watatu.
 
I have been following up thi crime maze watu ni noma
 
Wakenya wanaimani na mkurugenzi mpya wa mashitaka DPP Hajji ,no nonsense man. Mafisadi tumbo joto.
 
Back
Top Bottom