Wateja hawavutwi na bidhaa au huduma nzuri peke yake

Wateja hawavutwi na bidhaa au huduma nzuri peke yake

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,888

Wateja hawavutwi na bidhaa au huduma nzuri peke yake​

1*qmij-iK4DL0btCYLLPIy8Q.png

Hakuna kitu kinakatisha tamaa kama kuwa na huduma/bidhaa nzuri lakini hupati wateja.

Bidhaa zako ni nzuri, zinaleta matokeo, una shuhuda za kutosha, lakini kila mteja anapita kama hakuoni.

Kuna watu wana bidhaa mbovu sana au za kawaida lakini wanapata wateja wengi sana

Uweli ni huu:​


✅ Kuwa na bidhaa/huduma nzuri haitoshi

✅ Kujitangaza sana bila strategy ni kupoteza muda

✅ Ku-post kila siku bila utaratibu ni kupiga kelele tu mtandaoni

Wateja hawatafuti tu bidhaa.
Wanaangalia​

Value ya huduma yako. Mteja anataka apate faida yeye tu na siyo kukutajirisha wewe, kwahiyo akiona kama unataka pesa yake anakimbia mbio.

2. Trust: Unaweza kuwa una bidhaa nyingi sana lakini mteja atanunua kwa mtu anayemuamini, kwahiyo unatakiwa utengeneze mazingira ya kuaminika kwa asilimia 100%

3. Consistency: Wateja wangu wengi huwa wananiambia, “Nimekuwa nikikufatilia kwa mwaka mzima leo nimeamua nilipie huduma yako” Hii inatokana na consistency yangu ya kujitangaza na kupost kila siku.

4. Connection au followers: Wateja wengine wananunua kwasababu mtu flani kanunua aku kafanya kitu flani, ni rahisi kumfanya mtu alipie huduma yako kupitia mtu mwingine kuliko kulipia direct kwako. huwa nasema mteja wako wa kwanza ni kama mdhamini wako kwa wateja watakaofata.

Hapo utagundua kuwa mara nyingi tatizo si bidhaa zako…

Ni: Strategy unayotumia kuwasiliana na wateja wako

Usiendelee kutumia muda na pesa zako kufanya vitu bila direction.

Badala yake, jifunze jinsi ya:

→ Kujiposition vizuri online

→ Kutumia digital platforms

→ Kuongeza awareness

Jitahidi kufanya hivi:​



Onekana kwa watu wengi

Onekana kila siku

Jenga uaminifu

Piga kelele (marketing)

Tumia shuhuda

Lipia Matangazo

Uza bidhaa zinazohitajika sana

Kama unataka:​

Kukuza biashara yako

Kuaminika zaidi sokoni

Kupata wateja kwa consistency

Kutoka kwenye level ya “post na kuomba likes”

Tutafute WhatsApp kwa: wa.me/+255693880325
 

Attachments

  • Njia sahihi za kupata wateja online2.png
    Njia sahihi za kupata wateja online2.png
    2.3 MB · Views: 43
Back
Top Bottom