Sisi wateja tuliofungiwa Meter za Maji za Prepaid tumekuwa hatupati tokeni za maji pindi tunaponunua maji kwa njia ya Mtandao hapa Mkoa wa Kagera.
Mfano toja wiki iliyopita nilinunua maji mpaka sasa leo wiki ya pili siku ya Jumatano sijapata tokeni na BUWASA wapo kimya.
Hali hii imetuathiri wateja kwa kiasi kikubwa sana, Mamlaka ya Maji Bukoba - BUWASA wapo kimya hakuna solutions yoyote mpaka sasa tunashindwa haya malalamiko tuyapeleka wapi.
Naomba mamlaka ya juu zaidi iweze kutusaidia, pia hizo meter ziondolewe turudishiwe meter za zamani ukweli tunaumia sana kukosa huduma ya maji wiki ya pili sasa.
Pia, soma: √ - Waziri Aweso: Tatizo la Tokeni za Maji za Prepaid, latatuliwa BUWASA