mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 848
- 684
Braza hizo benk zna riba kubwa sana znafika hadi 30 kwa mwaka. Pia kwenye ishu ya mkopo kuna mifumo ya kuchaji riba kuna straight balance na reducing balance. Hapa sasa ndio wengi tunapopigwa kwenye mikopo hadi watu wanafunga biashara. Kwenye mifumo ya kuchaji riba hata kama kiwango cha riba ni 22% ila kwa mfumo wa kwanza utarejesha riba kubwa kwani utachajiwa 22% kila mwez kwa kiwango kile kile tofauti na redecing balance ambayo unachajiwa 22% ya deni lililobakiHujaelewa vizuri.
Yamepunguza 2% kwenye Riba zao za zamani. Mfano kama ilikuwa 20% itakuwa 18%.
Hata kwenye mikataba yao hakuna kipengere kuwa utakatwa reducing au la japo wao wanapokushawishi wanakudanganya utawekwa kwenye reducing ukiingia tu nao mkataba wanakugeukaBraza hizo benk zna riba kubwa sana znafika hadi 30 kwa mwaka. Pia kwenye ishu ya mkopo kuna mifumo ya kuchaji riba kuna straight balance na reducing balance. Hapa sasa ndio wengi tunapopigwa kwenye mikopo hadi watu wanafunga biashara. Kwenye mifumo ya kuchaji riba hata kama kiwango cha riba ni 22% ila kwa mfumo wa kwanza utarejesha riba kubwa kwani utachajiwa 22% kila mwez kwa kiwango kile kile tofauti na redecing balance ambayo unachajiwa 22% ya deni lililobaki
hapana. una avatar ya ccm unakiaibisha chama chako kwa comment isiyokua na akiliHiyo mikopo tutafanyia nini sasa,maana biashara tra wameamua tuikimbie kilimo ndo ugonjwa labda tunywee kimpumu na kuhonga warembo wa bongo muvi
Nilikuwa nimeshangaa sanaMleta mada hajaelewa,kibongobongo bado sana riba kufika 2%