Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Ndio wakae wiki sasa?Wapo kwenye marekebisho!
Pole Sana mdau,in short inakera Sana!Ndio wakae wiki sasa?
Kina nani? Hebu nidokeze hata kwa codes.......mambo mengi muda mchacheShida ni lile dokezo la wale madogo wenye 25b bank, sasa wali tafuta sababu ili zile hela zitolewe.
Madogo wenye Chaumma?Shida ni lile dokezo la wale madogo wenye 25b bank, sasa wali tafuta sababu ili zile hela zitolewe.
Bei ya hisa zao itafika 400Itakuwa washamiksi mambo kwenye marekebisho yao
Kabisa, unaemdai anakwambia bank inasumbua. Inabidi uingiwe na ubaridiHawa ni wezi Toka majuzi wamenifanya nimeshinda njaa wana wiki sasa mifumo Yao imekuwa mibovu sana
Imam haonekani msikitini, ngoja nika mtafuteMadogo wenye Chaumma?
Ni balaa sana mkuu πKabisa, unaemdai anakwambia bank inasumbua. Inabidi uingiwe na ubaridi
Hahahaha π€£π€£π€£ πππππππNi noma sana, mi nmepokea sms za miamala tatu akaunti hata sio zangu.