Mkuu Ile sio crdb ni sheet imetengenezwa via Microsoft excell hata wewe unaweza kumake kitu kama kile...mkuu kuexspose taarifa za mteja sio rahisi kiivo mkuuShida ni lile dokezo la wale madogo wenye 25b bank, sasa wali tafuta sababu ili zile hela zitolewe.
🤣🤣🤣🤣🤣Sijui laki yangu ipo salama huko, hadi moyo unaenda mbio.....
Atoto crdb imekuacha salama? Nikiwaza wana laki yangu moyo unafanya paaah 🥲
Au sio......!?Mkuu Ile sio crdb ni sheet imetengenezwa via Microsoft excell hata wewe unaweza kumake kitu kama kile...mkuu kuexspose taarifa za mteja sio rahisi kiivo mkuu
Bora hiyo mimi nimekuta hela yangu kiasi kikubwa hakionekani na hakuna muamala. Nasubiria wafanye reconciliation. Wengine ni voda pia wamechanganyikiwa sana. Nadhani BOT inabiti iongeze uangaliziWenye akaunti CRDB hali ni vurugu. Unatuma pesa haifiki lakini inaonyesha imekatwa
Unatuma pesa inafika, baadae inarudishwa
Unatoa hela ATM inahesabu lakini card inatoka bila hela.
Mikopo ya kukwata at source unakatwa kwenye saving account.
Kifupi benki imechanganyikiwa. Ukipiga simu unaishia kupewa ahadi tu.
Nini kimewakumba benk hii iliyoaminika kwa ufanisi?
mkuu umeona nini ?Nimeona na nitaona...
Kkmq sababu za kufilisika mbona hazipo btw kwakuwa serikali Ina hisa basi yote yanawezekana maana alisikika akisema kuleni kulingana na urefu wa kamba zenuSubiri watoe tangazo la Benki kufilisika ndio mtajua hamjui,
Sheria ya Benki kuu inasema benki ikifilisika mteja atalipwa kiasi kisichozidi milioni 2 hata kama ulikuwa unamiliki mabilioni.
Samia infrastructure Bond imeishia wapi? Watu wameliwa pesa zao tuWenye akaunti CRDB hali ni vurugu. Unatuma pesa haifiki lakini inaonyesha imekatwa
Unatuma pesa inafika, baadae inarudishwa
Unatoa hela ATM inahesabu lakini card inatoka bila hela.
Mikopo ya kukwata at source unakatwa kwenye saving account.
Kifupi benki imechanganyikiwa. Ukipiga simu unaishia kupewa ahadi tu.
Nini kimewakumba benk hii iliyoaminika kwa ufanisi?
Samia infrastructure Bond imeishia wapi? Watu wameliwa pesa zao tu
Mimi mwenyewe inasoma sifuri.... Ila huko CRDB sio salama kuhifadhi pesa. Hata mkopo ukiomba lazima wapunguze kiwango kinachoingia kwenye accountWengine akaunti zinasoma sifuri...! Wakati walikuwa na Salio
Ungeacha hata buku, kwa hakika dipresheni itakumaliza