Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Jana kuna mtu alitoa hela zake zote crdb
Uzi...mkuu umeona nini ?
vipi wale wenye vipande vya hisa hali ikoje hukohii benki ni ya kitapeli sana nmetoa hela hazitoki na wamenikata pesa zangu....
Akuuu kabuku kangu kalale mbali na mie vitalalika kweli🙆♂️🙆♂️Ungeacha hata buku, kwa hakika dipresheni itakumaliza
😂 hadi buku?Akuuu kabuku kangu kalale mbali na mie vitalalika kweli🙆♂️🙆♂️
Nimetoa zote mpaka hisa sitaki tena.Jana kuna mtu alitoa hela zake zote crdb
huduma zao kwa sasa zimekuwa very slow na za mashakaNimetoa zote mpaka hisa sitaki tena.
Si ndio🤣😂 hadi buku?
Ni yao namie nna zangu huko ndio hizoUnajua kuna watu wana mamilioni huko wakikusikia wanawezakuwa wanakutukana kimoyomoyo🤔
Sitaki kuigusa hiyo akiba yangu 😁
Mara wapite nayo🤣Sitaki kuigusa hiyo akiba yangu 😁
Acha basi 😂😂😂 unataka nilie kilughaMara wapite nayo🤣