Wateja wa CRDB hali ni tete, miamala mingi haieleweki

Nimetoa hela ATM simbaking hela imekatwa kwenye ATM inaniambia hamna mtandao,
Nachanganyikiwa sio mchezo mda wa kuanza kuitwa tapeli.

Simu ukipiga wanakata sms hawajibu
Same to me mtu katoa simbanking nimeenda ATM hela imegoma kutoa halafu yeye kakatwa kule. Hapa hanielewi ninavyomwambia sijatoa hela na ninaonekana mwizi sasa. šŸ˜’šŸ˜’šŸ˜’šŸ˜’
 
Wengine hata hawana account huko basi tu wamepata pa kujitetea..!!

Halafu nimekumbuka hivi ulisema unauza nini kkoo??
Sikuiona hii jamani.....sio kariakoo ni mbezi magufuli nauza nguo za kike jeans, tops, na night dresses
 
Hivi wanaoenda Bank kabisa wanaambiwaje maana niliamisha million moja kutoka UTT kwenda CRDB mpaka leo haijafika nimekuja kuangalia balance ya mkopo naona wameikata yote kulipa deni ambalo installment ya mwezi huu nishalipa.
 
Manager wetu sisi tangu juzi ameingia ofisini hoja yake ni moja tu, kufungua A/C kwenye benki nyingine isiyo ya Kitanzania...means not even NMB🤣........SO contract na CRDB inakomea hapo
 
Hivi bado kuna watu mnatunza pesa BANK? Tena hizi za Bongo?!

Si heri hata muwekeze kwenye crypto accounts au tafuteni namna ingine ya kutunza pesa zenu mie bank nishaacha kuweka hela miaka huwa natumia kufanyia manunuzi tu online basi naeka kiwangu husika then nikimaliza manunuzi kwisha habari, sinaga mazoea nao toka wanifanye mbaya na pesa zangu...
 
Hizi Local banks ndio matatizo
 
Back
Top Bottom