Wateja wanaporipoti matatizo ya kimfumo BRELA wahudumu wanawaunga na idara ya IT lakini simu hizo hazipokelewi

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Brela

BRELA Niwaite Hapa Tuongee:

Kuna katabia kenu ambapo mteja akipiga simu ambayo inahusisha Tatizo la kimfumo Agents wenu wanamwambia kwamba wanamuunga na watu wa Tekniko au sijui ndo IT halafu hio simu ya hao IT ama inaita haipokelewi au haiiti kabisa halafu na tatizo wala hamliripoti internally.

Sasa kuna wakati nahisi Mkurugenzi wa Brela labda kazi inamshinda maana hiawezekani Mteja Apige simu kisha awe fowadedi sehemu ambayo simu haipokelewi.

Sasa SIJUI TUNAFANYAJE.

Sasa Mimi nawaomba TU BRELA BRELA minipatie namba ya Direct ya Hao watu wa IT au tekniko au mnipatie kabisa namba ya Bwana Nyaisa ili angalau nimweleze kwamba mnazingua kwenye hilo eneo.

This is Very very urgent
 
Habari, pole kwa changamoto uliyokutana nayo, watoa huduma wetu katika kitengo cha TEHAMA walikua wanahudumia wateja wengine, tunaomba kufahamu changamoto uliyokutana nayo katika mfumo wetu kwaajili ya msaada zaidi.
 
Nafikiri kwamba mnatakiwa muwe na MFumo ambao hao watu wa IT wanaona Changamoto bila kuwa na haja ya kumforward Mteja.Mifumo IPO mingi sana na Rahisi mnayoweza kutumia.na hao ITA wanaweza kuwawekea.SIONI sababu ya kuwa na mtu wa kupokea SIMU ambaye haweza kupokea TATIZO na kuliripoti sehemu husika kisha kama kuna feedback mteja akatumia email kwamba issue yake imekuwa resolved.

Mbona ni teknolojia RAHISI na NAFUU hii?
 
Pole kwa changamoto uliyokutana nayo, tumepokea maoni yako kwaajili ya kuboresha zaidi huduma zetu.
 
Habari, pole kwa changamoto uliyokutana nayo, watoa huduma wetu katika kitengo cha TEHAMA walikua wanahudumia wateja wengine, tunaomba kufahamu changamoto uliyokutana nayo katika mfumo wetu kwaajili ya msaada zaidi.
Habari zenu Ndugu zangu Wapendwa Brela.Muwaambie watu wa TeHAMA waangalie kuna shida gani tena kwenye Mfumo maana Verification ya TIN number inasema The given key was not present in the dictionary.

Sasa Sijajua TRA ni Dictionary ama?Fanyeni namna hata hizi error message ziwe rahis kwa mteja kuelewa.Mfano ujumbe uwe There is error in verifying your TIN number Contact Support
 
Habari, tumepokea maoni yako kwaajili ya kuboresha huduma zetu.
 
Back
Top Bottom