ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,154
- 4,184
Brela
BRELA Niwaite Hapa Tuongee:
Kuna katabia kenu ambapo mteja akipiga simu ambayo inahusisha Tatizo la kimfumo Agents wenu wanamwambia kwamba wanamuunga na watu wa Tekniko au sijui ndo IT halafu hio simu ya hao IT ama inaita haipokelewi au haiiti kabisa halafu na tatizo wala hamliripoti internally.
Sasa kuna wakati nahisi Mkurugenzi wa Brela labda kazi inamshinda maana hiawezekani Mteja Apige simu kisha awe fowadedi sehemu ambayo simu haipokelewi.
Sasa SIJUI TUNAFANYAJE.
Sasa Mimi nawaomba TU BRELA BRELA minipatie namba ya Direct ya Hao watu wa IT au tekniko au mnipatie kabisa namba ya Bwana Nyaisa ili angalau nimweleze kwamba mnazingua kwenye hilo eneo.
This is Very very urgent