Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Natoa wito kwa CAF kuwa ijitafakari sana, Tanzania sio salama kama wanavyodhani, ni katika nchi hii tumeshuhudia watu wakitekwa na kupotezwa na miongoni mwao ni aliyekuwa mteule wa Rais. Hii ni hatari kubwa maana hata serikali na vyombo vyake havijui nini kilitokea.
Napendekeza CAF waipeleke michuano yao RWANDA.
Nasema hivyo kwasababu tumeshuhudia pia magaidi kadhaa yakikamatwa na serikali imekiri hivyo, kwakweli hii ni hatari maana magaidi hayo yapo mengi na yana mpango wa kuishinikiza serikali imwache huru mhaini hatari kwa serikali.
Sidhani kama CAF wanaweza kutoa ulinzi kwa wageni wao.