A
Anonymous
Guest
Kwenye zebra crossing unakuta Bajaji imepaki katikati ya njia inaita abiria wa kwenda Kimara au Mbezi, kiukweli usalama wa watembea kwa miguu ni mdogo sana na miundombinu ya maeneo yake inaharibika kila kukicha hakuna udhibiti wowote unaofanyika.