Ni zebra zote haziheshimiki lakini pia
Natamani kujua ule uzio wa pale Kijazi unalindwa/ kusimamiwa na nani kwa maana umefumuliwa fimuliwa na hata kipande vyenyewe vya zile waya havionekani sijui vimekwenda wapi na sina hakika sana kama wahusika hawajaona au wameona ila kama wameona na kulifumbia macho basi kuna shida mahali