Watendaji wa JamiiForums watembelea hifadhi ya Ngorongoro baada ya kufanya tathmini ya mipango na maandalizi ya mwaka 2024

πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Hii tabia aliianzisha Yesu alikuwa anawapiga chenga makutano na kwenda retreat kidogo na Thenashara (Manasara) kutathmini kazi zake kama zina impact.

Mara mojamoja mnatuacha makutano.

Mungu awafanikishe.
 
Nilisikia Jana Vijana wakisema JF nayo ina Pisi Kali.....Leo hata sikuhitaji kuvaa miwani yangu ya macho kuweza kuwaona πŸ€—

Hongera Max na Timu yako, you guys are doing incredible, very proud of you πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘Š
 
Mmezingua sana wajuba, inamaaana Wateja wenu tulioko hapa Jamvini mlishindwa hata kualika Mwanajamvi mmoja akatuwakilisha na sisi tukajiskia fahari kama wateja wenu.

Imagine hapo Ningemuona Pascal Mayalla kama mwakilishi wa sisi Members aysee ingekuwa poa sana.

Anyway muda bado upo next time msisahau mwaliko kwa Snr members wa JF hapa mf Mshana Jr watuwakilishe vilivyo tutajiskia fahari zaidi.

Am kidding mods msije kunipa life ban.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…