Watendaji wa serikali mnaua elimu ya tanzania

Watendaji wa serikali mnaua elimu ya tanzania

Luraja

Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
27
Reaction score
4
Bila kuzunguka nianze na afisaelimu shule ya msingi wilaya ya Chato. Huyu jamaa ameamia juzi lakini amekuja na mkakati wake eti walimu wafundishe mpaka saa kumi akiwa na maana kuanzia saa 6.00-8.00 mchana ni mapunziko. Kinachonishngaza shule hazina nyumba za walimu zilizokaribu, walimu wengine wanaishi mbali kiasi kwenda na kurudi wanakuwa wamechoka sana.Je hiyo ndiyo njia ya kuboresha elimu au nikuhididimiza?
 
Back
Top Bottom