KAMPUNI YA SIMU YA HALOTEL TANZANIA IMEWEKA MINARA YAO KWENYE MAENEO YA SHULE NA TAASISI ZA SERIKALI HUKO TANZANIA KODI KWA MWAKA TSH 240,000.
TCRA WANALIJUA HILO ILA WANAPIGA KIMYA. Serikali ya Tanzania ina habari hiyo?
Pia minara mingine ya kampuni hiyo hiyo imesimikwa kwenye maeneo ya taasisi za serikali na hailipi kodi ya pango hata senti tano,TCRA inalijua hilo?