Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Pale kwa mfugale pia wanasumbua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa aliyejirekodi akioga na kuvunja nazi katikati ya barabara aliona hii ndio njia sahihi ya kuchekesha? Hapana, huu ni ujinga na hatari.
Dully siku hizi Tariq?🤣Polisi tupo bize na Wasirra Dodoma.
Usalama acha ibakie Magomeni.
Una mbwato we dogo.Dully siku hizi Tariq?🤣
NIDA wamekubali?
Watasema "msiwazuie huko ndiyo kujiajiri kwenyewe" sijui wao kama wanaweza kuoga hivyoWakuu mpo vizuri?
Huyu jamaa aliyejirekodi akioga na kuvunja nazi katikati ya barabara aliona hii ndio njia sahihi ya kuchekesha? Hapana, huu ni ujinga na hatari.
Kwanza, anachafua barabara kwa mabaki ya nazi na maji, akiharibu miundombinu. Pili, amesababisha foleni kwa madereva waliolazimika kusimama au kupita kwa tahadhari.
Zaidi ya hayo, anavunja sheria za usalama barabarani. Kitendo chake kilisababisha mkusanyiko wa watu eneo lisilo salama. Barabara ni mali ya umma kwa usafiri, si mahali pa kufanya maigizo kiholela.
Mtu akipata ajali kwa sababu ya vitendo hivi, nani wa kulaumiwa? Tabia za kujitafutia matatizo halafu tunailaumu serikali kwa uzembe wetu.
TANROADS na mamlaka husika zinapaswa kuchukua hatua kama funzo kwa wengine wenye tabia kama hizi. Au nyie mnaonaje, Wakuu?
View attachment 3206099