Watengeneza content za kuoga au kuvunja vitu kwenye barabara zenye foleni kubwa wachukuliwe hatua, wataleta maafa!

Huyu jamaa aliyejirekodi akioga na kuvunja nazi katikati ya barabara aliona hii ndio njia sahihi ya kuchekesha? Hapana, huu ni ujinga na hatari.

🀣🀣🀣
Hakika sio kila mtu anajua kila kitu cha duniani

Ni kama hivi

Mtu unapoenda kusali na kutoa sadaka naye huyo hiyo ndio njia yake ya maishani ili apae.

Kila mtu anaishi kivyake ndio maana tunaangalia na kupita
 
Mitandao imewafanya watu wamekuwa vichaaa
Kila kijana anataka kuwa content creator ,ujinga mwingiii

Ova
 
Watasema "msiwazuie huko ndiyo kujiajiri kwenyewe" sijui wao kama wanaweza kuoga hivyo
 
Si kwamba yuko ibadani?Kwa kawaida huwa tunafanyia njia panda nyakati za usiku wa manane na hivyo tustahimiliane tu.Watu wanakesha usiku wakiomba kwa msaada wa vipaza sauti,ni kero lakini tunavumiliana.
 
Hao Tanroads kwani hawaogopi kurogwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…