Watengeneza kitimoto wajaribu kuwa wabunifu wa viungo vingine zaidi ya tangawizi tu

Watengeneza kitimoto wajaribu kuwa wabunifu wa viungo vingine zaidi ya tangawizi tu

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Wakaangaji na wachomaji kitimoto wa bongo ni kama hawajui viungo vingine vya kuweka katika nyama pendwa zaidi ya tangawizi tu. Nyama nyeupe kama za kitimoto, kuku na Samaki zinanoga zaidi mpishi akiwa na ubunifu mkubwa katika kuziwekea viunguo(spices) mchanganyiko.
 
1.Kitimoto hutumiwa sana na watu wenye asili ya bara,ambao sio mafundi sana wa upishi
2.hio sio nyama nyeupe ni pure red meats.......nyama nyeupe ni ya rodents kama ndezi,sungura na ndege kama hao uliowataja
 
2.hio sio nyama nyeupe ni pure red meats.......nyama nyeupe ni ya rodents kama ndezi,sungura na ndege kama hao uliowataja
Kwenye mapishi kitimoto inachukuliwa kama nyama nyeupe japo ni pale, kisayansi kwa undani sana ndio inachukulia kama nyama nyekundu.
 
Kwenye mapishi kitimoto inachukuliwa kama nyama nyeupe japo ni pale, kisayansi kwa undani sana ndio inachukulia kama nyama nyekundu.
Kuna kipindi bibi yangu aliumwa akashauriwa ale nyama nyeupe ikiwemo hiyo mbuzi katoliki japo sio kwa wingi.
 
1.Kitimoto hutumiwa sana na watu wenye asili ya bara,ambao sio mafundi sana wa upishi
2.hio sio nyama nyeupe ni pure red meats.......nyama nyeupe ni ya rodents kama ndezi,sungura na ndege kama hao uliowataja
Mkuu, kwani ndezi ni mnyama. Ndio lile tusi la kumuita mtu ndezi ikimaanisha mjinga lilitokea?
 
Wakaangaji na wachomaji kitimoto wa bongo ni kama hawajui viungo vingine vya kuweka katika nyama pendwa zaidi ya tangawizi tu. Nyama nyeupe kama za kitimoto, kuku na Samaki zinanoga zaidi mpishi akiwa na ubunifu mkubwa katika kuziwekea viunguo(spices) mchanganyiko.
Sasa ww unaenda kula mabaki ya ktmoto unaona umekula nenda hoteln agza lamb pork chops yako uinjoi utamu ya nyama safi
 
Kitimoto hata usipoweka viungo ukawa na kachumbali yako pembeni na ndizi na pepsi ni hatarig
Ni kwa sababu hujawahi kula iliyochomwa au kukaangwa kwa viungo vizuri kwa ufundi wa hali juu.
 
Haramu ni haramu tu hata uweke viungo
Kwa hiyo mudi boy ni muongo ?swali je nguruwe akichinjwa kwa kuelekezwa kibra na kufuata mafundisho ya mudi juu ya uchinjaji ndiyo anaweza kuliwa ....nimeuliza ili swali ili nionyeshe ni jinsi gani waislam walivyo wapumbavu hata dini yao awaijui....nasubiri majibu FaizaFoxy ni refa
 
Nyama nyeupe kama za kitimoto
Usijidanganye, nguruwe siyo nyama nyeupe

Knowledge Article
Pork is a red meat. Oxygen is delivered to muscles by the red cells in the blood. One of the proteins in meat, myoglobin, holds the oxygen in the muscle. The amount of myoglobin in animal muscles determines the color of meat. Pork is classified a red meat because it contains more myoglobin than chicken or fish. When fresh pork is cooked, it becomes lighter in color, but it is still a red meat. Pork is classed as "livestock" along with veal, lamb, and beef. All livestock are considered red meat.

Kwa Nini Nguruwe Inachukuliwa Kama Nyama Nyekundu

Nguruwe inachukuliwa kuwa nyama nyekundu kutokana na kiwango chake cha juu cha myoglobini. Myoglobini ni protini inayopatikana kwenye misuli ambayo huhifadhi oksijeni na kuchangia rangi ya nyama. Sababu ni hizi:

1. Nafasi ya Myoglobini

Myoglobini hufunga oksijeni kwenye misuli, na kiwango chake huathiri moja kwa moja rangi ya nyama.

Kiwango cha juu cha myoglobini husababisha nyama kuwa na rangi ya giza au nyekundu, kama ilivyo kwa nguruwe ikilinganishwa na kuku au samaki.

2. Mabadiliko ya Rangi Wakati wa Kupika

Nyama mbichi ya nguruwe ina rangi ya waridi, lakini inapopikwa, hubadilika kuwa rangi ya mwanga. Hata hivyo, kisayansi na kiafya bado inahesabika kama nyama nyekundu.

3. Uainishaji wa Mifugo

Nguruwe ni sehemu ya wanyama wa mifugo. Nyama zote zinazotokana na mifugo, kama vile ndama, kondoo, na ng’ombe, huwekwa katika kundi la nyama nyekundu bila kujali mabadiliko ya rangi baada ya kupikwa.

Kwa ujumla, nguruwe inachukuliwa kuwa nyama nyekundu kutokana na kiwango chake cha myoglobini na uainishaji wake kama nyama inayotokana na mifugo.
 
Back
Top Bottom