Watengeneza maudhui huko x kumbe kuna muda wanachukua content humu jamii forum?

Watengeneza maudhui huko x kumbe kuna muda wanachukua content humu jamii forum?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,072
Reaction score
12,119
Hilo nimelibaini katika pitapita zangu huko twitter.
Na kingine na maana ubunifu wa kutengeneza maudhui umeisha hadi content nyingi ziwe zina relate tu na mambo ya uasherati na uzinzi🤔
Screenshot_20250303_184957_X.jpg
 
Hilo nimelibaini katika pitapita zangu huko twitter.
Na kingine na maana ubunifu wa kutengeneza maudhui umeisha hadi content nyingi ziwe zina relate tu na mambo ya uasherati na uzinzi🤔
View attachment 3269727
Nilisikitika pia kuona chawa, mende, kunguni na viroboto wamejaa humu Jf hadi kufikia kupoteza ile tatste ya Great thinker iliyokuwa imetamalaki humu jukwaani zaidi ya muongo mmoja uliopita.
Yaani sasa hivi watu wanabubujikwa tu kama kuna vitu wamemwagiwa vile. Ila ndiyo tulipofika na hiki kizazi cha Mlimani City kisichotaka kuishi kwa kutumia akili bali udananda
 
Back
Top Bottom