SOFTWARE Watengenezaji mifumo ya computer kwa mahospital shule na micro-finance zote

dark man x

Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
10
Reaction score
12
Je, wewe ni mmiliki wa hospital, shule ama micro-finance yoyote na unahitaji huduma zetu tupo kwaajili yako.

Zendela company limited ni kampuni ya IT iliyopo dar es salaam na iliyojikita katika kutengeneza mifumo mbalimbali pamoja na kutoa huduma ya kumanage na kuintegrate mifumo yetu na TRA kwa ERP system zetu, Hospital management system na NHIF.

Gharama zetu ni nafuu sana wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupata demo.

Tell: +255 682837669 / +255 765349795
Email: ajoseph@zendela.co.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…