Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah sitaki kuamini kama kweli hakuna humu mkuu....ngoja tusubiri zaidiMpaka sasa hakuna majibu. Hii inaashiria kuwa humu hakuna mwenye gari iliyokuwa pimped
Sent using Jamii Forums mobile app
TTTR hatengenezi bodykits yeye ana import bodykits then anaunganisha
body kit hazichongwi bongo mzee inaagiza tu ebayHabarini wakuu.
Naulizia kama kuna mtu yeyote anayefahamika kudesign sports body kit za gari mbali mbali, maana huwa napishanana tu barabarani na watu wamepimp gari zao ila sijui exactly kwa dar ni wapi wanatengeneza hizi vitu.
Naomba kuwasilisha wakuu.
Sio kweli kaka..... zipo sehemu nyingi sana kumbe nimejuzwa...nikianza na jamaa anaitwa SHAKIKELI mcheki istagram na mwingine ni OMMYPAINTER wanafanya poa sana kazi zao nimeona.