Watengenezaji wa Custom body kits DSM.

Watengenezaji wa Custom body kits DSM.

Dadiz

Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
20
Reaction score
8
Habarini wakuu.
Naulizia kama kuna mtu yeyote anayefahamika kudesign sports body kit za gari mbali mbali, maana huwa napishanana tu barabarani na watu wamepimp gari zao ila sijui exactly kwa dar ni wapi wanatengeneza hizi vitu.
Naomba kuwasilisha wakuu.
 
Wacheki Tttrautoupgrades

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah TTTR mziki mwingine kabisa mkuu..... Ile ni garage ya tabaka la watu fulani kiukweli....mi naamini kuna vijana wenye skills na creativity wengi tu kwny garage flani flani wanafanya hizi vitu....tatzo ndo kuwajua sasa.
 
Wacheki Tttrautoupgrades

Sent using Jamii Forums mobile app
TTTR hatengenezi bodykits yeye ana import bodykits then anaunganisha

kwa mahitaji ya custom bodykit ambapo unakuwa na uchaguzi iweje kwa hapa tanzania nawajua jamaa wawili kwa arusha kuna mtu anaitwa JASON FRISBY na kwa hapa DAR kuna mtu anaitwa SHAKIKELI (mrisho sururu) siwezi weka contact hapa sababu ya privacy na usalama

ila nenda instagram search shakikeli then utampata jamaa yupo vizuri sana
 
Habarini wakuu.
Naulizia kama kuna mtu yeyote anayefahamika kudesign sports body kit za gari mbali mbali, maana huwa napishanana tu barabarani na watu wamepimp gari zao ila sijui exactly kwa dar ni wapi wanatengeneza hizi vitu.
Naomba kuwasilisha wakuu.
body kit hazichongwi bongo mzee inaagiza tu ebay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda maeneo ya Tazara opposite kabla hujafika SIDO kuna garage/kiwanda kinaitwa AUTOBOT kaulizie!..
 
Bodykit na facelift nyingi huwa zinaagizwa dubai na uk,inategemea na gari
Mf:unaweza upgrade range 2003 kwenda 2010,hivyo unaagiza bodykit inakuja yote complete(bumpers,taa,side bumper,)unaenda kwa fundi body/rangi wanakufungia,
Hata Tttr autoupgrade wanafanya samething.
 
Sio kweli kaka..... zipo sehemu nyingi sana kumbe nimejuzwa...nikianza na jamaa anaitwa SHAKIKELI mcheki istagram na mwingine ni OMMYPAINTER wanafanya poa sana kazi zao nimeona.

Aisee siwezi kuruhusu gari yangu kuwa upgraded na bodykits za kibongo,importation lazima inihusu tu
 
Back
Top Bottom