Watengenezaji wa maji ya Kilimanjaro acheni kuyachakachua, mnaua brand yenu

Haya sijawahi kuyaona huku Misungwi...

Au jaribu Buyegi...pure and crispy. Lita moja buku mbili
Yani kwa alie wahi kunywa maji ya kilombero kwa sasa haya tofauti na Kilimanjaro water Yani Bora unywe ya baridi yakiwa yamoto kama chai.
 
PH iko vile vile 7.0. Sema wamejaza madini na michumvi (Sodium) kibao...[emoji706][emoji706][emoji706]

Sasa hivi ni mwendo wa Dew Drop Buyegi, Hill na Afya tu.
Mimi na prefer afya, na uhai saivi wamerudi kwenye form nao walipotea naskia Kuna watu simamizi ndo walikuwa nawachakachua so bakhlesa kampa tenda watercom ndo anatengeneza maji na chupa.
 
MENGI kafa na maji yake, aliowaachia kampuni wameamua kupiga tu hela bila kujali future ya kiwanda na all these competitors, waafrica tuwe tunaandaa warithi wa mli zetu na uwekezaji wetu, tusiwe na mitoto mivivu inayodeka deka.
 
Ni nani mwekezaji kwenye hii kampuni ya Kilimanjaro wakuu maana anauwa soko lake bila yeye kutambua miaka ya nyuma kidogo hii kampuni maji yake mtu wa kawaida ukinywa basi.

Unajiweza lakini sijui Nini kimewakuta maji yao ni machachu hafadhali maji ya kisima au Bomba.

Yani nakunywa maji yao si mara ya kwanza Wala ya pili naona kitu kile kile na mikoa tofauti au maji yao yana classes kwamba kwenye conference kubwa kubwa wanawekewa Yenye ubora?

Wahusika acheni kuchakachua mnaua brand Yenu.

Ni ushauri tu kwenu.

View attachment 2668652
Sahivi wameweka visima hapahapa dar chanika huko unategemea nini..?
 
Zamani ilikuwa ukimkuta mtu anakunywa au kabeba maji ya kilimanjaro unamuangalia mara mbili mbili [emoji849]
 
Mengi Yana harufu ya tope kwa mbali
Ni nani mwekezaji kwenye hii kampuni ya Kilimanjaro wakuu maana anauwa soko lake bila yeye kutambua miaka ya nyuma kidogo hii kampuni maji yake mtu wa kawaida ukinywa basi.

Unajiweza lakini sijui Nini kimewakuta maji yao ni machachu hafadhali maji ya kisima au Bomba.

Yani nakunywa maji yao si mara ya kwanza Wala ya pili naona kitu kile kile na mikoa tofauti au maji yao yana classes kwamba kwenye conference kubwa kubwa wanawekewa Yenye ubora?

Wahusika acheni kuchakachua mnaua brand Yenu.

Ni ushauri tu kwenu.

View attachment 2668652
 
Ni nani mwekezaji kwenye hii kampuni ya Kilimanjaro wakuu maana anauwa soko lake bila yeye kutambua miaka ya nyuma kidogo hii kampuni maji yake mtu wa kawaida ukinywa basi.

Unajiweza lakini sijui Nini kimewakuta maji yao ni machachu hafadhali maji ya kisima au Bomba.

Yani nakunywa maji yao si mara ya kwanza Wala ya pili naona kitu kile kile na mikoa tofauti au maji yao yana classes kwamba kwenye conference kubwa kubwa wanawekewa Yenye ubora?

Wahusika acheni kuchakachua mnaua brand Yenu.

Ni ushauri tu kwenu.

View attachment 2668652
Haya maji yamechakachuliwa Yani ukiwa Arusha haya maji yana ladha tofauti ukija mwanza tofauti kiufupi soko limevamiwa haya maji yanazalishwa na wahuni huku huku mitaani,Kili brand yenu ni kubwa fanyeni auditing ya bidhaa zenu
 
Ni nani mwekezaji kwenye hii kampuni ya Kilimanjaro wakuu maana anauwa soko lake bila yeye kutambua miaka ya nyuma kidogo hii kampuni maji yake mtu wa kawaida ukinywa basi.

Unajiweza lakini sijui Nini kimewakuta maji yao ni machachu hafadhali maji ya kisima au Bomba.

Yani nakunywa maji yao si mara ya kwanza Wala ya pili naona kitu kile kile na mikoa tofauti au maji yao yana classes kwamba kwenye conference kubwa kubwa wanawekewa Yenye ubora?

Wahusika acheni kuchakachua mnaua brand Yenu.

Ni ushauri tu kwenu.

View attachment 2668652
Mani mabaya, ladha mbaya
 
Unajua mimi nilijua kuwa nilioyokunywa labda yanatengenezwa buguruni kwamnyamani
 
Mimi na prefer afya, na uhai saivi wamerudi kwenye form nao walipotea naskia Kuna watu simamizi ndo walikuwa nawachakachua so bakhlesa kampa tenda watercom ndo anatengeneza maji na chupa.
Nyie watu huwa mnatoa wapi redio mbao zenu?

Watercom anatengenezea Kisarawe 2

Uhai anatengeneza pale Buguruni
 
Ni nani mwekezaji kwenye hii kampuni ya Kilimanjaro wakuu maana anauwa soko lake bila yeye kutambua miaka ya nyuma kidogo hii kampuni maji yake mtu wa kawaida ukinywa basi.

Unajiweza lakini sijui Nini kimewakuta maji yao ni machachu hafadhali maji ya kisima au Bomba.

Yani nakunywa maji yao si mara ya kwanza Wala ya pili naona kitu kile kile na mikoa tofauti au maji yao yana classes kwamba kwenye conference kubwa kubwa wanawekewa Yenye ubora?

Wahusika acheni kuchakachua mnaua brand Yenu.

Ni ushauri tu kwenu.

View attachment 2668652
Mzee mengi aliondoka na maji yeke masafi ya kilimanjaro, waliobaki pale ni janjajanja tu maji ni magadi tupu watu walisha yakimbia kitambo kabla mzee yupo sijawahi ona ITV wakitanganza hayo maji kama sasa
 
Haya maji yamechakachuliwa Yani ukiwa Arusha haya maji yana ladha tofauti ukija mwanza tofauti kiufupi soko limevamiwa haya maji yanazalishwa na wahuni huku huku mitaani,Kili brand yenu ni kubwa fanyeni auditing ya bidhaa zen
Maji halisi ya Kilimanjaro ni yale yanayozalishwa na kiwanda cha Bonite Bottlers,Moshi na haya huwa yanasambazwa kwenye mikoa ya Kaskazini kama Arusha,Kilimanjaro,Tanga,Manyara hadi mikoa ya Kati kama Singida na Dodoma. Mengine yanazalishwa Dar kwenye kampuni ya Coca-Cola yaani wanaiga formula ileile lakini hayana ladha kama yale halisia ya Moshi.
Kwahiyo hayo unayoyaona ladha tofauti na original ni yale yanayozalishwa na kusambazwa kutokea Coca cola Dar.
 
Juzi wameingia wawekezaji wapya naona wataboresha
 
Back
Top Bottom