Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Ndugu wa baba mmoja ni muhimuNdugu!! Hawa jamaa wakuitwa ndugu mara nyingi ni wa kuepuka mno
Watengeneze watoto wako wawe na ndugu wengi, sio kuwa na katoto kamoja tu.We kuweza??? kwanza We umezaa??? mkuu....
Mapori yanaitaji watu wa kuyamaliza.Family planning ni muhimu,
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na poor family planning na UMASIKINI.
Ukifikisha miaka 45+ marafiki uliowategemea watakuwa bize na familia zao. Watengenezee watoto wako ndugu wa kutoshaWee ungejua yanayoendelea kwny familia nyingi za watoto wengi usingetamani...
Cha msingi zaa watoto wachache watafutie misingi mizuri ya maisha unahakikisha hata ukifa kesho wana chao cha kushika...mbona ndugu hata marafiki tuu nao ni ndg...ukiwaacha hawana mbele wala nyuma ndo wamejazana hapo ugomvi kila siku hata raha ya wingi wao hakuna
Mapori ya kilimo na ufugaji ni mengi, yanahitaji watu.Na kufa ufi chamoto unakiona kuzaa siyo kazi kazi ni kumlea.
Tuko serious na wokovu... mda wa kuanza kuwalisha sijui wavae wote hao? bora niwekeze kwenye maombi...Watengeneze watoto wako wawe na ndugu wengi, sio kuwa na katoto kamoja tu.
Huo ni ubinafsi na uchoyo, pamoja na kukimbia majukumu.Tuko serious na wokovu... mda wa kuanza kuwalisha sijui wavae wote hao? bora niwekeze kwenye maombi...
Hahahahaaaaa ngoja nilog out kesho mkuu...Huo ni ubinafsi na uchoyo, pamoja na kukimbia majukumu.
ha ha haHahahahaaaaa ngoja nilog out kesho mkuu...
Hongera Mkuu. Waoga wa kufyatua tunakusindikiza, tupo nyuma yakoKama mzazi, jitahidi kuwa na watoto wengi ata 50 kama unaweza kufyatua,ili leo na kesho usipokuwepo, watoto wako wawe na ndugu wa kutosha.
Hii ya kuzaa kitoto kimoja au wawili, ni kumfanyia ukatili mtoto wako kwa kumnyima kuwa na ndugu wa kutosha.
Leo hii wewe, mkeo na ndugu zako mmekata moto, watoto wako utakuwa umewaachia ndugu wapi?
Maisha ni kufikiria mbele,na si kufikiria usasa.
Namaanish wao watoto watakua na marafiki wao watakaojitengenezeaUkifikisha miaka 45+ marafiki uliowategemea watakuwa bize na familia zao. Watengenezee watoto wako ndugu wa kutosha