Z zhi you nhi Member Joined Dec 16, 2012 Posts 60 Reaction score 18 Dec 19, 2012 #1 Habar wapendwa nimepatwa na tatizo tumbo langu linalia as if kuna maporomoko ya mto vle mpaka nakosa raha,nimepima typhod cna,,,ila cjatumia dawa za minyoo muda mrf au itakua hyo??????? msaada jaman cna raha
Habar wapendwa nimepatwa na tatizo tumbo langu linalia as if kuna maporomoko ya mto vle mpaka nakosa raha,nimepima typhod cna,,,ila cjatumia dawa za minyoo muda mrf au itakua hyo??????? msaada jaman cna raha
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Dec 19, 2012 #2 soma thread ya bao sita kaka