zhi you nhi
Member
- Dec 16, 2012
- 60
- 18
Habar wapendwa
nimepatwa na tatizo tumbo langu linalia as if kuna maporomoko ya mto vle mpaka nakosa raha,nimepima typhod cna,,,ila cjatumia dawa za minyoo muda mrf au itakua hyo???????
msaada jaman cna raha