Dah one glass sugar,mbona sukari nyingi sana madame,thanx kwa kinywaji hikiIngredient
1/2 water melon
5 lemons
1 glass sugar
5 glasses
WaterIce cbues
Maelezo.
Likate hilo water melon, ondoa magamba yake na tumba zake. Kata ndimu na kamua ili upate majmaji yake. Changanya hilo watermelon na ndimu na sukari kwenye blender na maji. Zungusha kama dakika 4 hivi, tia kwenye jug ongeza ice cubes zake.
Tayari kinywaji murua.
Du kweli watu tunatofautiana yaani mimi ile harufu yake ndio naipenda acha tu.Mupirocin, nimekusoma mkuu, cha ajabu mimi siwezi kula watermelon kama fruit, ile harufu yake siipendi, ndo maana nikiichanganya na lemon inapoteza harufu and got to enjoy the drink.
anyways thanks for the advise.
Ni sawa tu, maana unadilute na glass 5 za maji. Unaweza punguza kidogo kama wewe sio mpenzi wa sukari.
Hii raha yake iwe nzito sio chururu unaweza tumia frost ice
Hii ndio tiba mbadala kwenye hz ndoa zetu..!!?
Eti MADAME X.?
mimi huwa napenda sana hii juice. lakini huwa siongezi sukari na maji huwa naweka kama nusu glass tu ya kusaidia blender kuzunguka.
otherwise watermelon lina maji sana halihitaji maji mengi ya ziada. pia huwa naongeza na mint ambayo nimeipanda nyumbani kwangu.
Mrembo hapo usipo ongezea maji na sukari ndio nguvu yake inakaribia kuwa kama Viagra!!