Water Melon and Lemon Juice

Water Melon and Lemon Juice

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Posts
7,792
Reaction score
3,856
Ingredient

1/2 water melon
5 lemons
1 glass sugar
5 glasses water
Ice cubes

Maelezo.

Likate hilo water melon, ondoa magamba yake na tumba zake. Kata ndimu na kamua ili upate majmaji yake. Changanya hilo watermelon na ndimu na sukari kwenye blender na maji. Zungusha kama dakika 4 hivi, tia kwenye jug ongeza ice cubes zake.

Tayari kinywaji murua.
 
duh .... thanks MadamX

ninatengenezaga lakini siweki lemon ... next time I will ... hope it will be more palatable
 
Ingredient

1/2 water melon
5 lemons
1 glass sugar
5 glasses
WaterIce cbues

Maelezo.

Likate hilo water melon, ondoa magamba yake na tumba zake. Kata ndimu na kamua ili upate majmaji yake. Changanya hilo watermelon na ndimu na sukari kwenye blender na maji. Zungusha kama dakika 4 hivi, tia kwenye jug ongeza ice cubes zake.

Tayari kinywaji murua.
Dah one glass sugar,mbona sukari nyingi sana madame,thanx kwa kinywaji hiki
 
Ni sawa tu, maana unadilute na glass 5 za maji. Unaweza punguza kidogo kama wewe sio mpenzi wa sukari.

Hii raha yake iwe nzito sio chururu unaweza tumia frost ice
 
Kwa utaalamu kula tunda zima ni more health kuliko kunywa juice yake. Coz unapotengeneza juice unaongeza kiwango cha sukari yaani glycemic index. Ukila tunda zima linafibres hivyo zinaslow absorption ya sukari, lakini pia zina enhance digestion na kuzuia costipation pia ni nzuri kwa kucontrol sukari mwilini. Hivyo kula water melon na matunda mengine as whole fruit ni more advantage than drinking juice.
 
Mupirocin, nimekusoma mkuu, cha ajabu mimi siwezi kula watermelon kama fruit, ile harufu yake siipendi, ndo maana nikiichanganya na lemon inapoteza harufu and got to enjoy the drink.

anyways thanks for the advise.
 
Last edited by a moderator:
MadameX fanya hii halafu urudishe majibu
water melon + mango + apple + banana + papaya
 
Last edited by a moderator:
Mupirocin, nimekusoma mkuu, cha ajabu mimi siwezi kula watermelon kama fruit, ile harufu yake siipendi, ndo maana nikiichanganya na lemon inapoteza harufu and got to enjoy the drink.

anyways thanks for the advise.
Du kweli watu tunatofautiana yaani mimi ile harufu yake ndio naipenda acha tu.
 
Hii ndio tiba mbadala kwenye hz ndoa zetu..!!?
Eti MADAME X.?
 
mimi huwa napenda sana hii juice. lakini huwa siongezi sukari na maji huwa naweka kama nusu glass tu ya kusaidia blender kuzunguka.
otherwise watermelon lina maji sana halihitaji maji mengi ya ziada. pia huwa naongeza na mint ambayo nimeipanda nyumbani kwangu.
 
Mrembo hapo usipo ongezea maji na sukari ndio nguvu yake inakaribia kuwa kama Viagra!!
 
Back
Top Bottom