Wakaguongo
Member
- Sep 23, 2026
- 95
- 38
Lakini kuna kitu interesting kuhusu hii business model. Si lazima uuze kitu ya bei kubwa ama upate profit kubwa kwa transaction moja ndio biashara ikuwe worth it.
Think about it: biashara inakupatia 200 profit per sale inaweza kuwa attractive kuliko ile inakupatia 200,000 kwa sale moja, especially kama operating costs ni manageable, maintenance iko chini na customers wanarudi kununua kila siku.
Hii ndio appeal ya water-refilling business. Maji ni basic need, so unlike biashara zingine ambapo unangoja customer aamue kununua, hapa kuna potential ya repeat customers.
Ukishapata location poa, ukapatana na building management na caretaker, na residents wakaanza kukuamini, unaweza kujenga customer base ndani ya hiyo estate.
Of course, si ati ni kuingia estate tu na kuanza kuuza maji. Kuna cost ya sourcing, transport, equipment, maintenance, rent ama commission, competition na kuhakikisha maji yanakidhi health and safety standards.
Pia, sales mob hazimaanishi automatically kwamba biashara inaingiza profit kubwa. Lakini the bigger question ni hii: Why chase one big sale ya 200,000 wakati unaweza kujenga biashara inayakupatia small but consistent profits every day?
Are these water-refilling outlets showing that the real money in business inaweza kuwa kwa solving everyday problems, serving the same customers repeatedly na keeping operating costs low?
Na kwa estates zenu, ni hustle gani nyingine umeona ikifanya vizuri kwa hii same model ya small but consistent profits?