hamidshaban
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 262
- 32
wakuu. Msaada kati ya hizo kozi mbili ipi unadhani ina soko kuizidi nyingine? Nashukuru kwa msaada wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote hapo zina soko!! Na kama sikosei sana zote zinatolewa na SUA!!
Zaid ya yote ningekushaur usome agriculture engineering maana mambo meng sana ya irrigation yanasomwa humo..ila machache ya agricultural engineering yanasomwa na mtu wa irrigation!! Kwa msaada zaid pitia web ya sua na upitie prospectus ya mwaka jana!!
Wakuu nashukuru sn kwa michango yenye akiliwater resources engineering in mambo mengi zaidi kuliko hizo nyingine. inatolewa UDSM. ni ngumu kiana, na kuna mambo ya hydrology, water transport eng, water supply design, structure kidogo, foundation eng. engineering maths,waste water, fluid mechanics, etc. Hydrology inaingia au kuhusiana na kilimo mfano , unyevu udongoni, lini kupanda, lini mafuriko, nk.
Kwa vipi mkuu?Ukisoma kozi ya Agriculture, jiandae kudhalilika....
Ukisoma kozi ya Agriculture, jiandae kudhalilika....
water resources engineering in mambo mengi zaidi kuliko hizo nyingine. inatolewa UDSM. ni ngumu kiana, na kuna mambo ya hydrology, water transport eng, water supply design, structure kidogo, foundation eng. engineering maths,waste water, fluid mechanics, etc. Hydrology inaingia au kuhusiana na kilimo mfano , unyevu udongoni, lini kupanda, lini mafuriko, nk.
Ukisoma kozi ya Agriculture, jiandae kudhalilika....