Watesi wa Chongolo wameshinda: Mengi yaja

Haya wewe Muhaya, unaandika ukiwa Bukoba au Mombasa? Au Nairobi?

Wake zenu wamepewa Ukurugenzi wanatafunwa nyie mnakenua tu meno yenu machafu!!
Umeambiwa uchuznguzi unafanyika. Tulia
 
kuna watu ukiwaambia mimi malaya na ninakunywa pombe na ushenzi wote wanaweza kuapa kwa bible au msahaafu kabisa wakinitetea...
 
Ila kwa Chongolo kama kweli alipata ajali sitashangaa maana mara kadhaa nimewahi kumwona akiendesha kwa rafu sana barabarani.
 
Siri ya mtu na maujinga yake inabaki kati ya mhusika na Mwenyezi Mungu aliyemuumba, ndio maana tunapoomba toba tunaomba mbele ya Mwenyezi Mungu na sio binadami.
 
Binadamu wote tuko hivyo. Tunaweza kuwa upande wa "kondoo" au wa "mbuzi" (Injili ya Mathayo 25: 31-46).
 
Kwamba Chongolo amepata utajiri kwa kuuza nyanya mpaka akajenga majumba?

Kwamba hizo nyanya alikuwa ananunua kwa shilingi elfu tatu (3,000) kutoka Makambako na kuuza Big Brother Dar kwa shilingi elfu sabini (70,000)?
Si hilo tu, nafahamu Chongolo ana magenge ya kuuza nyanya, vitunguu, ndizi za kukoboa na bidhaa zote unazozifahamu za genge yasiyopungua 10 hapo Dar es Salaam.
Eti Chongolo ni tajiri wa magenge ya nyanya 😂
Sisi sio wajinga bwana. Usituletee upuuzi wako hapa. Alafu ulivyoanzia mbali mara kwenda Kenya mara kwenda msibani Bukoba ukakaa siku nne nikajua kuna point kumbe chenga.
 
Kwahyo unakubali kuwa wakurugenzi kumbe huwa wanabadili matokeo?.
Inasemekana, so far nimeona clip ya mmoja wa wadudu -Covid -19 akilalamika kura zake zimeibwa na askofu mkuu Bwana Gwajima mfufua misukule, nalo sijui zaidi.
 
Sasa hiyo si mental disorder mkuu? We unaona ni sawa? Hata wewe kwa umri wako unatongoza kwa kumuonesha mwanamke uume wako? Pumbavu wahead wewe.
 
Kwahyo unakubali kuwa wakurugenzi kumbe huwa wanabadili matokeo?.
Huyu CHAWA comments zimemchanganya! Alidhani anawasilisha ujumbe kwa Wajinga wenzake!!!

Anayajua sana madhambi ya Chongolo. Tatizo lake anaishi mjini kwa kitegemea hongo!! Alihongwa kumchafua JPM na kitabu chake kimekosa soko.

Sasa hapo pengine ameshikishwa laki mbili tu ili akidhalilishe chama chetu!! Chongolo kalikoroga amuachie alinywe mwenyewe!!

Eti magenge ya nyanya na ndizi! Kwa miaka 2 tu majumba zaidi ya 40. Puumbavu kabisa
 
Kigogo anakula kupitia hiyo tabia ya kutishia kuchafua watu alianza na naibu waziri mkuu Biteko kuwa anapewa hela na nyumba masaki na nilesh wa state oil sijui kaishia wapi sijui kashapewa hatujui.
 
Nilijiuliza nani aliyeisambaza kwenye mitandao ya kijamii? Ni Chongolo mwenywe aliyeiandika? Ni walioipokea?
Sitanii!
Haka kamchezo ka kumuandikia mtu barua ya kujiuzulu na kuweka mitandaoni. Halafu inakuwa ni "surprise" hata kwa mhusika mwenyewe kameanzia kwa Ndugai.

Na haka ka mchezo katafika na kwa mwenyekiti.

Sitanii.
 
Chongolo alichofanya ni kuchagua ima aendelee kudhalilishwa ima aendelee na kazi zake binafsi zinazompq kipato huku akitunza heshma yake.

Ndivyo nilivyoona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…