Watesi wa Chongolo wameshinda: Mengi yaja

Nimekuelewa sana mkuu, sasa ccm asili ndo mnatakiwa kufanya mambo ,
 
watu ni kama hawaangalii hata movie za kimafia na kujifunza dunia ilivyo.

ukisikia Taifa limetekwa na wahuni maana yake mpaka organs zake zote ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza kugoa msaada kulitoa kwenye mateka.

Mexico na Colombia kwa mfano, zilikuwa mali za magenge ya wauza madawa na waliteka organs zote za serikali kuanzia Bunge, Jeshi, Taasisi za usalama, polisi na ikulu yenyewe mpaka pale mataifa mengine yalipoingilia.

Tanzania ni special case, tumetekwa na waliotuteka wanawanufaisha pakubwa wale ambao labda wangeweza kutuonea huruma na kutusadia kwenye ukombozi kama Mexicon Colombia.
 
In short, unaharibu uchunguzi!!
 
Leo Balile kanipata. Alinikera kwenye swala la Ngorongoro lkn hapa amenigusa.
 
Fupisha hilo likitabu lako nani ana muda wa kusoma
 
Uharo wa mwaka huu. Au wewe ndo Chongolo mwenyewe. Ccm hatung'ang'anii madaraka so akae asubiri kama wengine. Mpelekee tenga la nyanya.
Kama hamng'ang'anii madaraka mbona hamjateua mwingine? Mbona imeundwa tume ya kuchunguza tuhuma?
Vichawa vidogovidogo vinakaa sehemu chafu sana kama wewe chawa
 
Fupisha hilo likitabu lako nani ana muda wa kusoma
Mkataba wa bandari ,DP WORLD mawaziri wako walisema hivi hivi wakasaini, kuja kushtuka kumbe wameuza bila ukomo na kama si CHADEMA ilikuwa imeenda hiyo.

#Wewe endelea kupenda vitu vifupi.
 

Lakini hizi zote bado ni tuhuma. Tusubiri uthibitisho wake. Maana kumtweza mtu kwa mambo ambayo siyo ya uhakika, nayo si haki.
 

Mkuu hakuna CCM-Bashite, hiyo uliyoita CCM bashite ni version ya wahuni wa Msoga wakiwapoza wafuasi wa marehemu.

Tanzania imetekwa na wahuni ambao wapo kimaslahi na sio dhamira ya dhati ya kulitumikia Taifa.

Wengi ukiwasikiliza wanahubiri ujamaa huku na familia zao wakiuishi ubepari.

Hakuna kundi lenye uafadhari, bali ni mapigano dhidi ya maslahi binafsi na kujikusanyia utajiri kupitia modern slavery.
 
Hapa Balile amechanganya kidogo majina, Anjelina ni kimada wa Lyatonga, Shemeji yetu kwa yule Blaza wangu ni Sundi Malumo!.
P
 
Wewe tutajie kabla ya uchunguzi kukamilika. Ili uchunguzi ukikamilika tulinganishe.
 
Kuhusu huyu mzushi wa Twitter, Balile amesema kweli, nami niliwahi kushauri kuhusu hili
View: https://youtu.be/-sr2_3bIHSo?si=uoPH3QY5BQSJFKhq lazima tufike mahali huyu kichaa aadabishwe!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…