PreGE2025 Watetezi wa utekaji, mauaji na watu kupotea jipangeni angalau kwa hoja zenye akili na mashiko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Nikirejea utetezi wa matendo haya wa Jerry Muro kama mfano wa jumla wa watetezi na watu wanaoamini hivi vitendo kwa sasa vimewahi kuwepo huko nyuma pia, ni vya kawaida tu na sio vya kuchukuliwa kwa uzito na utofauti kwa sasa.

Kwanza, hata kama vimewahi kuwepo huko nyuma ila watu hawakupiga kelele kama sasa huo sio utetezi wa mtu mwenye akili timamu, ni utetezi wa kijinga wa kiwango cha lami, yeyote anayetoa utetezi wa aina hii anawadharau waathiriwa na Watanzania kiujumla.

Pia soma:

Pili, Kuhusu kupigwa risasi kwa Imrani Kombe ripoti ya polisi ilitolewa na ilesemwa kwamba alidhaniwa kuwa jambazi mwizi wa magari aliyekuwa anafuatiliwa. Kama hiyo ripoti ni ya kweli au sio ya kweli hilo ni jambo lingine. Kupigwa risasi kwa Lissu na kuuliwa kwa Kibao hakujawahi kutolewa maelezo YOYOTE mpaka sasa (hata ya kusema ni majambazi tu ndio waliohusika katika hayo matukio).

Tatu, Uhalifu wa watu kuuwa kwa sababu za kishirikina/za kiganga, mapenzi, mali au wezi na majambazi kuteka na kuua watu au watoto kupotea sio sawa na uhalifu wa Ali Kibao kutekwa na kuuwa, sio sawa na Lissu kupigwa risasi katika makazi ya serikali yenye ulinzi, sio na Ben Saanane kupotea n.k haijalishi ni mara ngapi mnataka kuonyesha huo mfanano hakuna ufanano kwa hayo mambo na kifo sio kifo tu.

Kuhusu kupigwa risasi na kuuwawa kwa John F. Kennedy rais wa Marekani someni ripoti ya Warren Commission ya September 27, 1964 iliyotolewa mwaka mmoja tu baada ya Kennedy kuuwawa.
 
Mbaya zaidi wanakopa trillion 30 wanakwambia hizi tumekusanya kwa wafanyabiashara wa mbagala
FB_IMG_17481529788668546.jpg
 
Wanabanwa na maswali magumu ila majibu Yao utasikia mbona hawakusema hapo kabla.... inasikitisha sana
 
Moderators tafadhali ongeza na neno Wabakaji kwenye title ya mada husika.
 
Mwanga ni kitu kina exist na kuna formular na vyanzo ya kuuteneneza (kufanya uwepo)
Giza ni kutokuwepo mwanga, period! Hakuna formula ya giza
Hivyo hiyo giza halijawahi na halitakaa liushinde mwanga
Ukweli hautakaa ushindwe na uongo. Watajitekenya na kucheka wenyewe wakati hoja ni: ...utekejaji upo au la!?
 
Nikirejea utetezi wa matendo haya wa Jerry Muro kama mfano wa jumla wa watetezi na watu wanaoamini hivi vitendo kwa sasa vimewahi kuwepo huko nyuma pia, ni vya kawaida tu na sio vya kuchukuliwa kwa uzito na utofauti kwa sasa.

Kwanza, hata kama vimewahi kuwepo huko nyuma ila watu hawakupiga kelele kama sasa huo sio utetezi wa mtu mwenye akili timamu, ni utetezi wa kijinga wa kiwango cha lami, yeyote anayetoa utetezi wa aina hii anawadharau waathiriwa na Watanzania kiujumla.

Pia soma:

Pili, Kuhusu kupigwa risasi kwa Imrani Kombe ripoti ya polisi ilitolewa na ilesemwa kwamba alidhaniwa kuwa jambazi mwizi wa magari aliyekuwa anafuatiliwa. Kama hiyo ripoti ni ya kweli au sio ya kweli hilo ni jambo lingine. Kupigwa risasi kwa Lissu na kuuliwa kwa Kibao hakujawahi kutolewa maelezo YOYOTE mpaka sasa (hata ya kusema ni majambazi tu ndio waliohusika katika hayo matukio).

Tatu, Uhalifu wa watu kuuwa kwa sababu za kishirikina/za kiganga, mapenzi, mali au wezi na majambazi kuteka na kuua watu au watoto kupotea sio sawa na uhalifu wa Ali Kibao kutekwa na kuuwa, sio sawa na Lissu kupigwa risasi katika makazi ya serikali yenye ulinzi, sio na Ben Saanane kupotea n.k haijalishi ni mara ngapi mnataka kuonyesha huo mfanano hakuna ufanano kwa hayo mambo na kifo sio kifo tu.

Kuhusu kupigwa risasi na kuuwawa kwa John F. Kennedy rais wa Marekani someni ripoti ya Warren Commission ya September 27, 1964 iliyotolewa mwaka mmoja tu baada ya Kennedy kuuwawa.
Mkuu yani unapoteza kabisa muda wako kumjibu mwehu kweli
 
Jerry Muro ni Tapeli ,alikuwa anatembea na pingu pamoja na bastola kwa ajili ya kuwablackmail matajiri ili asiwaandike kwenue habari zake....alikuja kuingia choo cha kike baada ya kuwarecord maaskari wakila rushwa na wao wakampata kwenye issue zake za UTAPELI.
 
Ni mfano tu japo inawezekana... Mbona Ukraine imekopeshwa zaidi ya hizo?
Ukraine kuna vita!

Yaani una deni Trilioni 100 ukopeshwe trilion 30 bila kullipa?

Afisa mikopo huyo atakuwa chizi!
 
Hawa wakwetu wanaweza kuweka rehani mbuga, viwanja vya ndege na bandari ili tu wapate cash
 
Nimependa alivyotoa mfano wa JFK,.wanasema assassination of presidents is the lost art... Waathirika na watanganyika wote, Jerry Muro kashawapa green light...then tuta justify like "mbona hata JFK aliuliwa"
 
Ameongea mambo mengi ya kijinga sana.
 
Back
Top Bottom