Aisay nimerudia kama mara mbili naona ni vile vile...hizo study zako umezipata wapi, au umezistudy vipi mpaa ukamake sure ziko sawa...Au ni akili yako tu imekutuma vile.
Hebu chukua mfano mdogo sana....Leta wizi wawili hapo ufanye kama joke, uwaulize nani kaiba pesa zako uone wanavyo jiishitaki...kila mmoja atamsonta mwenzie ndio kaiba, Kwa sababu kila mmoja wao anaona kaharibiwa deal yake.
Ndio maana nikasema baadhi.
Kwahiyo wewe kama wewe upo tayari kuwa muwazi kwa mwenzako linapokuja swala la mawasiliano? Je yeye akiwa anaamini kinyume na hapo. . . mtaelewana?
Anyway, nimejikuta nafikiria haya kwasababu nashawishika kufanananisha 'BAADHI' ya watu wanaotetea waume/wake/wapenzi wao wanapocheat na kuishia kutoa visingizio vingi vya kwanini wenzi wao wamecheat ili waonekane hawana hatia.
Mazee, wewe fatilia Key words zake utaona kuna...Nadhani...Inawezekanaok ni hivi
kuna vitu tunaviamini ndani kabisa ya mioyo yetu
ambavyo vinasababisha viwe 'maamuzi' makuu wakati wa crisis....
Lizzy,
Kuna wale ambao wanaonekana kama wanawatetea cheaters kwa sababu wana full knowldge ya kile kinachoendelea kwenye jamii. Bila kujali kama wenyewe ni cheaters au la!!
Suala la privacy kwenye ndoa napingana nalo sana....Tulishawahi kujadili suala la simu hapa hapa!!
https://www.jamiiforums.com/mahusia...kwa-nini-simu-ya-mume-iogopwe-kama-ukoma.html
Lizzy
kuna kitu Kongosho anakueleza sidhani kama unakielewa...
labda nikuulize umewahi kukutana na kitu kinaitwa
'the power of subconscious'???????/
Natamani tungekua hapa kubishana then ningebisha, ila kwasababu sicho kilichonileta hapa I'll pass.Anyways Lizzy maelezo yako yote yamejikita hapo.....na nashawishika pia kuamini kuwa hii thread ni matokeo ya hoja ya Kongosho kwen thread ya Nyani Ngabu hapa hapa hebu bisha uone lol
so kimsingi, majibu yake yamo mule mule kwa NN....:focus:
Mbu hamna ubaya ukigusia vyote.
...mnh, sasa Lizzy hapa umeniacha njia panda... unataka nizungumzie utetezi wa kwanini glass is neither half full nor half empty, au unataka nizungumzie privacy?
Anyway...mimi ni mmojawapo ninayeweza kataa ushahidi wa upande wa mashtaka hata kama ushahidi unajitosheleza. Everything happens for a reason bana....hata cheating zina sababu nyingine za msingi kabisa zinazokubalika hata na mshtaki ila basi tu, kila mtu anapendelea aonekane yeye ndiye wa kwanza kurusha jiwe...
...kuhusu hilo la privacy, mnh...bado hujanishawishi kumwachia passwords zangu mtu ninayelala naye na kufanya mengineyo yote iwe na taa au gizani. Kuna raha fulani kuishi on the edge of things, na hili la kumuachia maswali mwenza what next inasaidia, otherwise maisha yatakuwa very boring bana, haijatulia mwenza 'akusome' kama kitabu.
My motto is, DONT TRUST NO ONE!
Sawa sawa mana hata mimi nimeisha changanyikiwa bora nikapumzishe kichwa.Naomba hiyo paragrapgh ya kwanza niiache maana siwezi kurudia kitu kile kile nikijua fika hatuelewani.
Mazee, wewe fatilia Key words zake utaona kuna...Nadhani...Inawezekana
Yani hana uhakika anayo yasema.
Night-night.
Natamani tungekua hapa kubishana then ningebisha, ila kwasababu sicho kilichonileta hapa I'll pass.
Kurwa hao wanaowatetea huku wenyewe wakiwa faithful kwa kila namna sio nnaowaongelea.
....jamani ee, hivi kuna mtu hapa ana 100% anajua kinachoendelea kichwani mwa mwenza wake (mume/mke/mpenzi?),.....hakuna siri ya watu wawili, kuna yalisyo ya siri kwenye handset yangu, email account yangu, bank account yangu, nk ambayo ni bahati mbaya tu siwezi yahifadhi kifuani nizikwe nayo...
Kuna swali niliwahi liuliza siku ya nyuma, ni wangapi hapa wenza wao wanajua ids wanazozitumia hapa jf?
kwanini we dare to talk openly nyuma ya annonymous names kuliko hata face to face na wenza wetu?
kuna siri kubwa tunazihifadhi,...hamjanishawishi bado kuniaminisha hamna siri...
Mbu hamna ubaya ukigusia vyote.
Alafu niambie kwa kukumbatia simu kunafanya vipi muishi "on edge of things"? Maisha hayawezi kua exciting na spontanious kama atakua anaweza akatumia simu yako au anajua password yako ya facebook?
Mbu usiwe mgumu sana bwana, mbona hizo siri ukichukuliwa zitajulikana tu. Au ndio yale ya "maiti haina aibu" kwahiyo haijalishi?
....jamani ee, hivi kuna mtu hapa ana 100% anajua kinachoendelea kichwani mwa mwenza wake (mume/mke/mpenzi?),.....hakuna siri ya watu wawili, kuna yalisyo ya siri kwenye handset yangu, email account yangu, bank account yangu, nk ambayo ni bahati mbaya tu siwezi yahifadhi kifuani nizikwe nayo...
Kuna swali niliwahi liuliza siku ya nyuma, ni wangapi hapa wenza wao wanajua ids wanazozitumia hapa jf?
kwanini we dare to talk openly nyuma ya annonymous names kuliko hata face to face na wenza wetu?
kuna siri kubwa tunazihifadhi,...hamjanishawishi bado kuniaminisha hamna siri...
Huamini kwamba ni muelewa kiasi cha kuweza kupuuza kama akiona haijakaa kama vile una maisha ya siri?
...wala siikumbatii, naweka password tu kisha naizima, hata akitoa chip bado huko kuna pin lock vile vile...
Mambo ya kununiwa kisa mtu hajaelewa sms kwenye simu yangu yananiharibia siku bure...i dont have time for that.
YES. . . that's the type.aaaaahhhh Okay ..
unawaongelewa wale kina hunny bunny..
"mume wangu ananipenda na mimi na muamini asilimia mia.
na mimi ni faithful kwakwe na ye anafahamu hilo.. Next minute
kaolewa kwenye internet na mtu asiemfahamu..."