Watetezi. . .

Watetezi. . .

mimi simu yangu ya mkononi huwa siwezi hata mmtu mwingine aitumie mara moja
kuna watu utasikia niazime simu yako,nimeishiwa credits....mimi i prefer kuwarushia credits...
kuliko kugusa yangu
Ningekua rafiki yako ningeomba simu yako kila siku ili unirushie credit.
 
Okay labda nimekupata
kwa NN nimejibu in general
je unataka majibu yangu as an individual unataka kujua nini kitu gani kinaweza fanya kuvunja ndoa?

Anyways Lizzy maelezo yako yote yamejikita hapo.....na nashawishika pia kuamini kuwa hii thread ni matokeo ya hoja ya Kongosho kwen thread ya Nyani Ngabu hapa hapa hebu bisha uone lol

so kimsingi, majibu yake yamo mule mule kwa NN....:focus:
 
Ningekua rafiki yako ningeomba simu yako kila siku ili unirushie credit.

unarushiwa mara moja ukirudia tu.....
nehi lol

na hapa nawazungumzia watu wa karibu
ambao hata akishika simu yangu hakuna madhara
mfano dada na kaka.....
but mimi yangu hawagusi......ni principle tu yangu
 
Okay labda nimekupata
kwa NN nimejibu in general
je unataka majibu yangu as an individual unataka kujua nini kitu gani kinaweza fanya kuvunja ndoa?

Mi naomba nipate mtazamo wako binafsi (unayoweza kuvumilia, mipaka nk).
 
Ngoja nimalizane na Lizzy
ntarudi hapa badae

aaaaahhhh Okay ..
unawaongelewa wale kina hunny bunny..
"mume wangu ananipenda na mimi na muamini asilimia mia.
na mimi ni faithful kwakwe na ye anafahamu hilo.. Next minute
kaolewa kwenye internet na mtu asiemfahamu..."
 
Mbu usiwe mgumu sana bwana, mbona hizo siri ukichukuliwa zitajulikana tu. Au ndio yale ya "maiti haina aibu" kwahiyo haijalishi?

Mi wangu ntampa ID yangu awe anaangalia nnayochangia akipenda. Tatizo la watu kuwa wagumu kwa hili ni kwamba walivyo/wanavyokua hapa sivyo walivyo mitaani.

Na mtaanindio mpango mzima au sio.....
 
Okay labda nimekupata
kwa NN nimejibu in general
je unataka majibu yangu as an individual unataka kujua nini kitu gani kinaweza fanya kuvunja ndoa?

yale ya kule kwa NN yanatosha sana na kwa maono yangu, as general as they are, yanasuffice kujibu hoja ya Lizzy hapa...lol

hapo bold, thats a whole new thread of its own au sio
 
Kwahiyo utaniambia hutaki au?

kiustaarabu ukishajua una rafiki ambae ni
'a difficult person lime me'
na wewe utajifunza kwenda na mimi......
so most my people wananijua.....
hata mama mzazi anajua sipendi simu yangu' iguswe'

na hata nilipokuwa mdogo ilikuwa nikiweka kitu sehemu
akija mtu kukiondoa ni ugomvi mkubwa....

umewahi kusikia 'self centered people'????
ndo mimi....
 
Nadhani kwa wengine hapa ndio panaweza pakawa mpango mzima maana wanapata uhuru usiohitaji mipaka.

Si nasikia(ga) kuna BAN lol...ila kama wapo wa hivyo, wako doomed:eyebrows:
 
Huamini kwamba ni muelewa kiasi cha kuweza kupuuza kama akiona haijakaa kama vile una maisha ya siri?
Alafu kuiacha simu huru haina maana mtu awe anafanya ukaguzi bana.

...dahhh, nahisi mimi ni miongoni mwa wale 'tusioaminika' mpaka tupekuliwe...mbaya zaidi hata nisipokutwa na
kidhibiti naambiwa na mambo yangu nimeyaficha mahala...yaani mpaka unashtukia usiku unapigwa sachi!

Lizzy, kwenye dunia ya mapenzi nimeshafanya yote, ku share accounts, simu, emails...faida na hasara nishazijua,
sitamuachia tena mtu ajue mambo yangu yote.
 
kiustaarabu ukishajua una rafiki ambae ni
'a difficult person lime me'
na wewe utajifunza kwenda na mimi......
so most my people wananijua.....
hata mama mzazi anajua sipendi simu yangu' iguswe'

na hata nilipokuwa mdogo ilikuwa nikiweka kitu sehemu
akija mtu kukiondoa ni ugomvi mkubwa....

umewahi kusikia 'self centered people'????
ndo mimi....

aisee arif unataka kumlecture Lizzy apo au vipi......lol
 
Si nasikia(ga) kuna BAN lol...ila kama wapo wa hivyo, wako doomed:eyebrows:

Heheheh naah simaanishi kuchafua hali ya hewa. Namaanisha kuwa vile wanavyotamani/penda waonekane wakati mtaani ulivyo ndivyo ulivyo.
 
Lakini Doto..
hivi ukitongozwa kwenye NET na hujakutana na mtu ki
mwili je hiyo inahesabika kama ku cheat ??

Kutongozwa tu sio kosa Kurwa, kupokea hilo tongozo ndio kosa. Unakua unajiunganisha na mtu mentally and emotionally wakati mwenzako yeye hajui.
 
Kutongozwa tu sio kosa Kurwa, kupokea hilo tongozo ndio kosa. Unakua unajiunganisha na mtu mentally and emotionally wakati mwenzako yeye hajui.

orait..what if anajua....
 
siwezi vunja ndoa kwa vitu hivi
1. Mwenza akicheat
2. Akiwa na watoto wa nje kabla na baada ya ndoa

nitavunja ndoa immediately kwa vitu hivi
1. Matumizi ya mlango haramu, kama amewahi jihusisha na hilo kwa manamme au mwanamke, kabla ya ndoa au baada ya ndoa. Big NO hata kama ni under gun point, nitaondoka
2. Usiri hasa mambo ya msingi kama mapato yote ya familia, simu,
3. Ushirikina wa aina yeyote
4. Kupigwa

na nyongeza ni hii
mwanamke aliyeolewa hatakiwi kucheat under any circumstance. No cheating for married women

mfumo dume is inevitable kwa maslahi ya familia, mke ni mshauri tu, mwanamme ni mwamuzi.
Mi naomba nipate mtazamo wako binafsi (unayoweza kuvumilia, mipaka nk).
 
kiustaarabu ukishajua una rafiki ambae ni
'a difficult person lime me'
na wewe utajifunza kwenda na mimi......
so most my people wananijua.....
hata mama mzazi anajua sipendi simu yangu' iguswe'

na hata nilipokuwa mdogo ilikuwa nikiweka kitu sehemu
akija mtu kukiondoa ni ugomvi mkubwa....

umewahi kusikia 'self centered people'????
ndo mimi....
Kwahiyo wewe ni egoistic/selfish?

Binafsi sijaona hayo kwenye maelezo yako, nilichoona(naweza kua nahitaji miwani) ni kwamba unapenda vitu vyako viwe vile unavyopenda wewe (might qualify for a perfectionist on a certain level) , kwasababu hata mimi sipendi mtu ahangaike na vitu vyangu bila ruhusa yangu. Na bado siwezi sema mimi ni self-centered, egoistic au selfish.
 
Back
Top Bottom