Ningekua rafiki yako ningeomba simu yako kila siku ili unirushie credit.mimi simu yangu ya mkononi huwa siwezi hata mmtu mwingine aitumie mara moja
kuna watu utasikia niazime simu yako,nimeishiwa credits....mimi i prefer kuwarushia credits...
kuliko kugusa yangu
Anyways Lizzy maelezo yako yote yamejikita hapo.....na nashawishika pia kuamini kuwa hii thread ni matokeo ya hoja ya Kongosho kwen thread ya Nyani Ngabu hapa hapa hebu bisha uone lol
so kimsingi, majibu yake yamo mule mule kwa NN....:focus:
Ningekua rafiki yako ningeomba simu yako kila siku ili unirushie credit.
aaaaahhhh Okay ..
unawaongelewa wale kina hunny bunny..
"mume wangu ananipenda na mimi na muamini asilimia mia.
na mimi ni faithful kwakwe na ye anafahamu hilo.. Next minute
kaolewa kwenye internet na mtu asiemfahamu..."
Mbu usiwe mgumu sana bwana, mbona hizo siri ukichukuliwa zitajulikana tu. Au ndio yale ya "maiti haina aibu" kwahiyo haijalishi?
Mi wangu ntampa ID yangu awe anaangalia nnayochangia akipenda. Tatizo la watu kuwa wagumu kwa hili ni kwamba walivyo/wanavyokua hapa sivyo walivyo mitaani.
Ngoja nimalizane na Lizzy
ntarudi hapa badae
Okay labda nimekupata
kwa NN nimejibu in general
je unataka majibu yangu as an individual unataka kujua nini kitu gani kinaweza fanya kuvunja ndoa?
Kwahiyo utaniambia hutaki au?
Nadhani kwa wengine hapa ndio panaweza pakawa mpango mzima maana wanapata uhuru usiohitaji mipaka.
YES. . . that's the type.
Huamini kwamba ni muelewa kiasi cha kuweza kupuuza kama akiona haijakaa kama vile una maisha ya siri?
Alafu kuiacha simu huru haina maana mtu awe anafanya ukaguzi bana.
kiustaarabu ukishajua una rafiki ambae ni
'a difficult person lime me'
na wewe utajifunza kwenda na mimi......
so most my people wananijua.....
hata mama mzazi anajua sipendi simu yangu' iguswe'
na hata nilipokuwa mdogo ilikuwa nikiweka kitu sehemu
akija mtu kukiondoa ni ugomvi mkubwa....
umewahi kusikia 'self centered people'????
ndo mimi....
Lakini Doto..
hivi ukitongozwa kwenye NET na hujakutana na mtu ki
mwili je hiyo inahesabika kama ku cheat ??
Kutongozwa tu sio kosa Kurwa, kupokea hilo tongozo ndio kosa. Unakua unajiunganisha na mtu mentally and emotionally wakati mwenzako yeye hajui.
Mi naomba nipate mtazamo wako binafsi (unayoweza kuvumilia, mipaka nk).
Kwahiyo wewe ni egoistic/selfish?kiustaarabu ukishajua una rafiki ambae ni
'a difficult person lime me'
na wewe utajifunza kwenda na mimi......
so most my people wananijua.....
hata mama mzazi anajua sipendi simu yangu' iguswe'
na hata nilipokuwa mdogo ilikuwa nikiweka kitu sehemu
akija mtu kukiondoa ni ugomvi mkubwa....
umewahi kusikia 'self centered people'????
ndo mimi....