Watetezi. . .

Hahahahahah. . . eti unapigwa sachi usiku.
Nwy kwasababu wewe Mbu ulishajaribu na ikatokea mambo yakawa mabaya badala ya mazuri kwa uwazi wako basi unaruhusiwa kuogopa majani kwa kidhani ni nyoka. You are officially off the hook.
 
Reactions: Mbu
orait..what if anajua....

Kama anajua na amekubali then it might be more of a joke than anything else, ndio maana mhusika hajaweka siri maana hana cha kuficha.
 
kama huwezi mwonyesha partner wako ni cheating

akchwal cheating si lazima uwe na partner
going against what you believe in kwa morals zako is cheating too.

Lakini Doto..
hivi ukitongozwa kwenye NET na hujakutana na mtu ki
mwili je hiyo inahesabika kama ku cheat ??
 
Bacteria wanaosababisha haka ka'ugonjwa hua hawaishii tu, kwenye tatizo hili. Huenda mbali zaidi mf. Mimi nimeshasadikisha mara kadhaa wazazi wanaficha kuweka transparency exam results za watoto wao.
Sometimes huwatolea wanawao sifa kua wamefanya vizuri ilhali wanajidanganya wenyewe.
 
Well,nafurahi kuona una mipaka.

Hahahaha ndio nini kukandamiza wanawake?
 
Unaweza kunifafanulia kidogo huo mf. wako?If you don't mind.
 
Kutongozwa tu sio kosa Kurwa, kupokea hilo tongozo ndio kosa. Unakua unajiunganisha na mtu mentally and emotionally wakati mwenzako yeye hajui.

Doto..
kila mtu anatafuta njia zake za kutoa stress..
kwa wale wanzangu na mie ambao wanajua kabisa mambo yao
si sawa ndani ya ndoa za na bado wanawapenda wapenzi wao ndo
watafanya mambo kama hayo, ku "chit,chit chart na watu kwenye NET na
mambo kama hayo ..

Binafsi naoana hakuna mbaya ..
 
kama huwezi mwonyesha partner wako ni cheating

akchwal cheating si lazima uwe na partner
going against what you believe in kwa morals zako is cheating too.

duhhhhh
acha ku ruka ruka basi ..

swali langu ni hili
By afrodenzi

Lakini Doto..
hivi ukitongozwa kwenye NET na hujakutana na mtu ki
mwili je hiyo inahesabika kama ku cheat ??

sijaongelea kuhusu partner sehemu yeyote ile..
 
Kurwa bana, huoni sio fair kwa mupenzi?
Kama hamna ubaya kwanini usimkaribishe akusaidie kuflirt?
 
Kurwa bana, huoni sio fair kwa mupenzi?
Kama hamna ubaya kwanini usimkaribishe akusaidie kuflirt?

sasa fipi kama mupenzi ye anapiga mbizi
kuliko mimi huko nje , si bora nimtafute Raisi
anipunguzie mawazo kabla hatujarudi home..

Tena sasa natumia computer ya kazini..
"he will never find out":A S embarassed: acha tu nijipe moyo ndugu yangu..
maisha yenyewe haya ya kugangamaa..
 
Ndo maana nikajibu kama una mwenza, na huwezi kumwonesha huyo mwenza wako hizo chat, hakika unacheat si lazima mkutane kimwili

nililokuwa nimejibu la pili, nitaliacha pending naona ni thread inayojitegemea
je waweza cheat ukiwa singo?

Hahahahaha. . . kama unataka kupunguza streas achana na Raisi, yule ni mwongezaji sio mpunguzaji.
 
Ndo maana nikajibu kama una mwenza, na huwezi kumwonesha huyo mwenza wako hizo chat, hakika unacheat si lazima mkutane kimwili

nililokuwa nimejibu la pili, nitaliacha pending naona ni thread inayojitegemea
je waweza cheat ukiwa singo?

Hahahaha, yani ujicheat mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…