Mi sitaki kujua kwanini asicheat, nataka kujua kama akicheat anapanda chat na kuwa sawa na mwanaume.
Ndo maana nikajibu kama una mwenza, na huwezi kumwonesha huyo mwenza wako hizo chat, hakika unacheat si lazima mkutane kimwili
nililokuwa nimejibu la pili, nitaliacha pending naona ni thread inayojitegemea
je waweza cheat ukiwa singo?
Hahahahaha. . . kama unataka kupunguza streas achana na Raisi, yule ni mwongezaji sio mpunguzaji.
kwa wale kina hunny bunny wanaotongozana
kwenye NET wakati wako ndani ya ndoa wana cheat kama
hawatawahusisha wenza wao kwenye mazungumzo yao .
ndo nilichopata hapo kwenye red....
kujibu swali lako..
huwezi ku cheat kwa mtu ,mfano ( boyfriend, mume, fiance, partner etc) ukiwa singo.
maana uko mwenyewe..
si lazima umfuate mwenzi wako umwoneshe bebi ona nachat na huyu
ila kama akija kwenye laptop yako wakati wewe unachat ukaminimize ili asione kwa makusudi na kujidai unafanya kazi zako hakika ulikuwa unacheat.
Mawasiliano yeyote ya kikutamaniana tamaniana ambayo hutaki mwenzi wako ayafahamu basi unacheat.
Kama huwezi mwachia mwenzi wako pasiwed ya jf kwa kuhofia kuona meseji wa watu wengine wanazokutumia basi unacheat.

dahhhhhh wenye wenza I hope mnachukua notice from Kongosho...
Kwa hiyo Kongoshoo ukiwa kwenye relation (nikimaanisha, olewa au dating ) hakuna kitu
kinachoitwa "SIRI"....?
hakuna siri
na naichukia with my very own soul
siri ya nini wakati mmeapa mbele ya ukomo wenu wote wa kibinadamu kwamba nyie ni mwili mmoja hadi kifo kiwatenge? Tena kanisani?
Vinginevyo ni wizi mtupu
Wengine ni geresha tu. . . .
Anasema hayo huku moyoni anatamani jumatano ifike akutana na kimada wake au mwaka uishe amwache mwenzie solemba baada ya kumchuna.
LIKE. . .. LIKE.
Kurwa kama alivyosema Kongosho kama ukiwa unaelekea nyumbani unakua busy kufuta text, ukiwa fb au JF unachat kimachale mwenzio asije akaona basi una lako jambo.
hakuna siri
na naichukia with my very own soul
siri ya nini wakati mmeapa mbele ya ukomo wenu wote wa kibinadamu kwamba nyie ni mwili mmoja hadi kifo kiwatenge? Tena kanisani?
Vinginevyo ni wizi mtupu
Funga kazi ...
Funga kazi ...
remember, am old fashioned, kama avatar yangu
kwa hiyo usihangaike kuyafuata sana haya.