Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Hilo halina ubishi, mimi mwenyewe niliishi naye kinafiki, hata huyu wasasa naishi naye kinafiki cha msingi msimwambie sawa jamani?
Ila Rais mzalendo alikuwa JPM tu, nasema uongo ndugu zangu? Shida yake ni 1 tu, aliteua mafisi yote na mwadamu 1.
Ila Rais mzalendo alikuwa JPM tu, nasema uongo ndugu zangu? Shida yake ni 1 tu, aliteua mafisi yote na mwadamu 1.