Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
NaamMakonda naye kumbe alikuwa mnafiki
KabwuudiHilo halina ubishi, mimi mwenyewe niliishi naye kinafiki, hata huyu wasasa naishi naye kinafiki cha msingi msimwambie sawa jamani?
Ila Rais mzalendo alikuwa JPM tu, nasema uongo ndugu zangu? Shida yake ni 1 tu, aliteua mafisi yote na mwadamu 1.
Wameingia kwenye mfumo.Kabwuudi
Bushiru
Kitwila mkwumbo
etc
Na mwishoni walianza kususana... ndiyo ikawa bas tenaMakonda naye kumbe alikuwa mnafiki
Uko sahihi kabisa Ponjoro wa Kinondoni. Leo joni nakuja pale kwako kupata urojo na chapati pamoja na pweza, utakuwepo?Hilo halina ubishi, mimi mwenyewe niliishi naye kinafiki, hata huyu wasasa naishi naye kinafiki cha msingi msimwambie sawa jamani?
Ila Rais mzalendo alikuwa JPM tu, nasema uongo ndugu zangu? Shida yake ni 1 tu, aliteua mafisi yote na mwadamu 1.
Kuwa mzalendo Tanzania ni hasara kuliko hasara yenyewe ilivyoSio wateule tu,hadi wananchi na wanaharakati ndio wanafiki wa kwanza,walimpa JPM majina yote mabaya na hadi wakafurahia kifo chake,leo hii eti wao ndio wanaumizwa na kifo cha magu hata hao waliokua wasaidizi wake,yan leo hii waliozunishwa na kifo cha magu ndio wanaonekana wabaya
Lilikuwa wazi kama antena juu ya bati. Watu wasio wanafiki huwa wanafanya kazi sio kujionyesha onyesha. Wewe mtu kila anakoenda hata kutoa mkate anaambatana na makamera.Hilo halina ubishi, mimi mwenyewe niliishi naye kinafiki, hata huyu wasasa naishi naye kinafiki cha msingi msimwambie sawa jamani?
Ila Rais mzalendo alikuwa JPM tu, nasema uongo ndugu zangu? Shida yake ni 1 tu, aliteua mafisi yote na mwadamu 1.
Magufuli alikula hasara sana kumuamini makonda duh π¬Na mwishoni walianza kususana... ndiyo ikawa bas tena
Bashite πππ€Magufuli alikula hasara sana kumuamini makonda duh π¬