Jumla ya Wanachama Kumi 11 ambapo wakitia nia Udiwani Chama Cha Mapinduzi na kuongoza kura za maoni kati ya kata 214 za Mkoa wa Morogoro, hawajateuliwa na kugombea nafasi hizo kutokana na sababu mbalimbali
Hayo yamesemwa na Katibu wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Mkoa Morogoro Nuru Ngereja wakati akizungumza na Waandishi wa habari ambapo amesema baada ya kufanyika Kikao maalum cha Halmashauri ya Mkoa Morogoro, kimewapitia Wagombea 203 ambao waliongoza lakini kata hizo 11 hawajapitishwa