Watia nia Jimbo la Bukoba Mjini wambana Mbunge Byabato kugawa mitungi ya gesi, naye ajibu

Watia nia Jimbo la Bukoba Mjini wambana Mbunge Byabato kugawa mitungi ya gesi, naye ajibu

Hao watia Nia waache siasa za majitataka kama vipi wanunue hizo burner kisha wawape wao wapiga kula
 
Sio kesi ila waTz tunapenda kudeka dadeq, hebu wananchi acheni upuuzi, nunueni hizo burner wenyewe bana, mnadai hizo burner as if ni haki yenu
Hawa hata gesi ikiisha watarudi kwa mbunge kuomba awajazie
 
Siamini unyonge walionao watu wa Bukoba, yaani hawana priority Wala pride tena, nitegemea kuona wakihamasishana kuondoa dhuluma ya utawala badala yake wako busy kujikomba? Hivi wenzetu walikuwa na uchaguzi 2020? Kumbe JPM hakukosea kuwatenda wanafiki hawa!
 
Back
Top Bottom