Tetesi: GE2025 Watia nia ubunge waweka kambi makao makuu ya CCM Dodoma kulilia tatu bora

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
640
Reaction score
1,517
Baadhi ya watia nia ya ubunge wameonekana kwenye viunga vya Makao Makuu ya CCM Dodoma wakikutana na watu mbalimbali kwa lengo la kuwaomba wasaidiwe ili wapitishwe na vikao vya Kamati kuu kuwa wagombea ubunge.

Wanadaiwa kukutana na watu mbalimbali na kuwapatia fedha ili wakashawishi vikao viwapitishe kwenye tatu bora
 
Kwa mwendo huu bunge halina faida kabisa ndani ya nchi hii.. Maana kimekuwa chombo cha hovyo tangu siasa ziaze
 
Baadhi ya watia nia ya ubunge wameonekana kwenye viunga vya Makao Makuu ya CCM Dodoma wakikutana na watu mbalimbali kwa lengo la kuwaomba wasaidiwe ili wapitishwe na vikao vya Kamati kuu kuwa wagombea ubunge.

Wanadaiwa kukutana na watu mbalimbali na kuwapatia fedha ili wakashawishi vikao viwapitishe kwenye tatu bora
Ungewataja ingependeza
 
MCHAWI Karaba kakimbia ulingoni kabla mechi haijaanza
 
Baadhi ya watia nia ya ubunge wameonekana kwenye viunga vya Makao Makuu ya CCM Dodoma wakikutana na watu mbalimbali kwa lengo la kuwaomba wasaidiwe ili wapitishwe na vikao vya Kamati kuu kuwa wagombea ubunge.

Wanadaiwa kukutana na watu mbalimbali na kuwapatia fedha ili wakashawishi vikao viwapitishe kwenye tatu bora
Makonda mojawapo anatusumbua hasa anatoa ahadi mno
 
Siwakae majimboni kwao na wapiga kura ....Kwani kwenda Dodoma this time ndo kusukuma wajumbe wapendekeze Jina km ni hivyo basi Ubunge hauna kabisa hadhi...ya heshima.
 
Back
Top Bottom