Ni akina nani hasa hawa walioko "Kamati KUU" ya CCM. Ni wangapi hawa?Kamati kuu
Ungewataja ingependezaBaadhi ya watia nia ya ubunge wameonekana kwenye viunga vya Makao Makuu ya CCM Dodoma wakikutana na watu mbalimbali kwa lengo la kuwaomba wasaidiwe ili wapitishwe na vikao vya Kamati kuu kuwa wagombea ubunge.
Wanadaiwa kukutana na watu mbalimbali na kuwapatia fedha ili wakashawishi vikao viwapitishe kwenye tatu bora
MCHAWI Karaba kakimbia ulingoni kabla mechi haijaanzaBaadhi ya watia nia ya ubunge wameonekana kwenye viunga vya Makao Makuu ya CCM Dodoma wakikutana na watu mbalimbali kwa lengo la kuwaomba wasaidiwe ili wapitishwe na vikao vya Kamati kuu kuwa wagombea ubunge.
Wanadaiwa kukutana na watu mbalimbali na kuwapatia fedha ili wakashawishi vikao viwapitishe kwenye tatu bora
Makonda mojawapo anatusumbua hasa anatoa ahadi mnoBaadhi ya watia nia ya ubunge wameonekana kwenye viunga vya Makao Makuu ya CCM Dodoma wakikutana na watu mbalimbali kwa lengo la kuwaomba wasaidiwe ili wapitishwe na vikao vya Kamati kuu kuwa wagombea ubunge.
Wanadaiwa kukutana na watu mbalimbali na kuwapatia fedha ili wakashawishi vikao viwapitishe kwenye tatu bora
Sawawako wengi