Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Ya ni ngumu kidogo kupata watu wa kumdhibiti mtu wa aina hiyo.Hapo wanatakiwa kuwa na mechanism ya ndani ya chama kudhibiti watu wa hivyo japo ni ngumu kidogo.
Sema uzuri Mungu huwa anatupa viongozi ambao huwa hawatumii mamlaka vibaya kupitiliza.
Hata akiwa mbabe bado kuna baadhi ya mambo ya hovyo ambayo hawezi kuyafanya.