Yaani hatari, mbaya zaidi Rais hana mvuto, kwa hulka yake, jinsia, alitakiwa atafute mgombea mwenza Mwenye mvuto!!! angalau kusaidia kiasi flani!!!
Naona safari hii CCM inaenda kuanguka anguko bila kutarajia 2025 October siyo mbali, tuombee Lissu ashinde tuu.