GE2020 Watia nia wengi 2020 bomu jipya kwa CCM | wataiangusha CCM 2025

Asante kwa kuongezea,hili bomu halitawaacha salama kabisa ndio itakuwa mwisho wao. Bado wanaomaliza vyuo na hakuna ajira ni hatari sana
 
Form ni laki tu, nimesema wana njaa kutokana na kua hawaridhiki na madaraka waliyonayo. Mfano tu kesho wakitangaza kua ubunge ni kazi ya kujitolea sidhani kama utasikia watia nia
Asante sana kwa jibu,kama unavyosema upepo ukigeuka gafla uRC ugombewe na ubunge uwe ni kaz ya hayari(mshahara mdogo tu) waliokimbia ukuu wa mkoa warudi tena huko huko kama sio njaa ni nini?
 
Safari hii watoto wa nyerere wawili wamejitosa hapo butiama pamoja na ndugu yao mwingine

Siasa ya ccm imeingiliwa


2025 wagombea urais watakuwa 500
 
Watu wamechoka na namna rais anavyoongoza nchi kuna vuguvugu la mapinduzi ndani ya ccm sasa hivi taratibu tutaona makubwa.
 
Unajua hadi makamu na rais wamekasirika kweli kweli!
Mpaka kuipa ajenda juzi na kutafuta wasemaji duh!

'Tumeipenda wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…