Watia nia wote waidhinishwe na wazee wa majimbo

Watia nia wote waidhinishwe na wazee wa majimbo

Tardy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1,287
Reaction score
1,607
Chuki za kuturudishia majina ya Gwajiboy huku hawakubaliki kisha wanaokubalika mnasema walikuwa watoa rushwa halafu ninyi wenyewe mnakuwa wakwanza kuwanunua watu hii haikubaliki kabisa.

Wazee ndio wanawafahamu vijana wao bila kujali chama gani ndio wawaidhinishe kugombea majimboni kutoa ujinga wakupitwa bila kupingwa. Wananchi wawe huru kumchagua wamtakaye na siyo kumpangia mpiga kura.
 
Hao wazee wa majimbo wanatoka Chama gani?

Unapoandika utulie usitengeneze Maswali
 
Back
Top Bottom