Watibeli sio mbuzi wa kafara. Kamwe hatutakubali kugeuzwa chambo

Leo sasa ndo umeongea, hata mimi siwaungi mkono majizi ya Ccm lakini kamwe siwezi kukaa upande wa wa Tz wanafiki waliojaa uoga kama Nyumbu ukiwa mbele kufikiri umejitoa kwaajili yao muda wowote wanakuachia msala peke yako, wamejaa usaliti na unafiki, wamemsaliti Mbowe mara kibao, Lissu mwenyewe hadi leo hii kuwa gerezani ni kwasababu ya usaliti vinginevyo watu wangeshamtoa kwa maandamano kama wasingekua wanafiki.

Wamemsaliti soka, mdude na hata Polepole, mimi nasema hizi nyumbu acha zitembezewe kichapo hadi siku akili iwakae sawa wachomoe pembe kujitetea vinginevyo ukijifanya uko mbelembele watakushangaza unaweza kutekwa na watu wawili mbele ya wa Tz 50 na wote wakakuacha ubebwe huku zimekaa mbali zinakuchungulia kama Nyumbu.
 
Brother kama nilivyocomment kwenye thread yako iliyopita.

Usitafute kuwa vuguvugu ikiwa maneno yako mengi yanaegemea upande fulani. Wewe sema #OktobaTunatiki mambo yaishe

Hakuna sababu ya kuificha dhamira yako katika maneno mengi

Either ways, wewe kama muandishi naamini ni msomaji wa historia, hata kipindi cha ukoloni Oscar Kambona na Nyerere walipita mikoani na vijijini kuwahubiria watu habari za uhuru kwa sababu Tanganyika haikuwa settler economy wala wakoloni hawakutumia direct rule kiasi cha watanganyika kukutana na mkono wa chuma wa ukoloni.

Kusema hivyo, watanganyika hawajazoea political struggles za watu wengi. Wao wamezoea kusubiria masia wachache wa kuwafaidisha the same way walimfurahia Magufuli kupambana na vitu ambavyo vilikuwa vinasomwa na CAG kila mwaka ila hawakufanya lolote.

Watanganyika ni wengi ni watu wakuwapigia makofi mbuzi wa kafara ila si kwamba ndani ya nafsi zao hawayaoni maovu..

Kwa kusema hivyo, ningeomba uisome historia ya nchi yako na uilewe na kisha uchague upande wako ama la ukae kwenye mizani ya kubalance mambo, kwa weledi na ukishindwa kabisa. Karibu kwenye chama chetu cha watu ambao tunajadili issues lakini si kwamba tupo attached na upande wowote ama falsafa yoyote..

Inshort acha hizo baby games na uwe wazi
 
Kwa hiyo kuwa_attack wale wanaopambana kwa ajili ya wanafki ndio unasaidia situation au unawasaidia wale ambao wewe unaona wanafanya jambo baya.

Kwa nini uongeze hofu ama comments negative kwenye mapambano ambayo wewe huna balls za kuyasimamia.

Si kheri ukae kimya kama sisi.

Halafu kwa nini unasema huwezi kupambana and at the same time, unasema wanaopambana wanakosea kuwapambania nyumbu wasio na balls au uelewa wa kupambana..

Kwa kusema hivyo, huoni umejiweka automatically kwenye hilo kundi la nyumbu wanaopambaniwa?
 
Alafu ww jamaa nilikuwa najuaga ni mtu unayejielewa Sana kumbe huna tofauti na mwijaku unavyosema hauko tayari kumpigania mtu ambayo hayuko tayari kupiganiwa sasa ww ni nan kwenye hii nchi acha kuzunguka zunguka ww sema Tu tusiandamane chama chako cha CCM kipewe nchi yaani kwa haya yanayoendelea kwenye hii nchi bado na akili zako za king'ombe ng'ombe unasema watu wakapige kura kweli ww jamaa leo nimejua ww ni ng'ombe eti mnasingizia wanaharakati wanatushawishi Sisi wanataka watutoe chambo DAAAH ila ww jamaa kweli ni banzoka
 
Hakuna anaewakatisha tamaa ila nawaeleza ukweli kuwa hakuna Nyumbu anaeweza kuandamana , kwasababu, sababu za kuandamana zipo nyingi kuliko kuisubiri hiyo tarehe 29, kuwekwa mahabusu kwa Lissu ni sababu tosha ya kuandamana, kupotea kwa Soka, Mdude na hata juzi Polepole ilikua sababu tosha

Ila kwakua Nyumbu zimejaa uoga zimeamua kuficha uoga kwenye tarehe ya mbali zikisema zitaandamana tarehe hiyo , sasa lazima niwaeleze kuwa hamna hiyo courage ya kuandamana, Nyumbu atabaki kuwa Nyumbu hadi siku muache unafiki.
 
Cheki huyu shoga naye vp uko mwezin unataka kupandwa
 
Unajipa umuhimu na Ushujaa ambao hauna, wewe auna ushawishi hata kwenye ubalozi wa mtaa unaokaa Ni kheri ungekaa kimya

Kama u.eshalambishwa Asali iliyopakwa kwenye mti ngozi tulia usikilizie utamu
 
Tulia tope ww unaandika comment huku umelegea boya ww na nyege za mk**und**ni hizo
Endelea kutukana siku ukijua kuwa mimi ndo kibenten wa mamaako sijui utamueleza nini mamakoo, na unajua kabisa anapenda vibenten
 
Tarehe 29 inakaribia mmeanza kutetemeka na kujikana mmojammoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tanzania hayatokuja kutokea maandamano. Uoga ni nature yetu. Hata huyu Mtibeli anatiririka na visingizio vingi, hii ni ishara ya uoga, na ndio Tanzania ipo hivyo.
Hapa cha msingi tuishi tutafute hela, ukiona vipi nenda kaishi nchi za abroad ambazo zinafuata demokrasia. Maisha yatakuwa mazuri zaidi huko.
Ila ukikaa utegemee keyboard warriors kama mleta mada ndo waungane nawe kwenye maandamano, unajidanganya. Huu ndio ukweli πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kama Watibeli ni kabila basi ni mojawapo ya makabila ya hovyo kuwahi kutokea katika historia ya dunia
Kama ni falsafa haifai kusomwa na mtu yoyote anayejitambua.
Umeandika vitu usivyovielewa zaidi ya kujikweza na kujipa umuhimu wewe na watibeli wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…